KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Leo naomba kujadili kile kinachokwamisha mchakato wa katiba.Inaonekana katika kukwamua mchakato wa katiba mpya watu wote na hata watawala wamesahaj tatizo lilipo. Tume ya kukusanya na kuratibu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ili kuweko na umoja na mshikamano zaidi , kuondoa mgongano wa maalsahi ya vyama hapo baadae, tunahitaji kutenganisha maslahi binafsi ya chama kimojakimoja na muungano wa ukawa ili kulinda umoja...
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Mi kama mtanzania ninaye hitaji Katiba mpya sioni kama wenzetu wa ukawa wanatutendea haki, na hatua yao yakutoshiriki vikao vya bunge la katiba, hii inawajima watanzania haki yao ya kuwaamini...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Tangu mchakato wa katiba umeanza IPP-Media kupitia vyombo vyake vya ITV, Radio One, Capital Radio na EATV kupitia kipindicha HOTMIX vimekuwa karibu kabisa kutuhabalisha juu ya mchakato huu...
12 Reactions
137 Replies
13K Views
Kuna msemo unasema mwenye hekima atajifunza kwa kusikiliza bali asiyekua na hekima atajifunza kwa mazoea,na maanashi tusingojee kama yaliotokea kwa wenzetu wakenya.Tunatakiwa tujifunze kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Msafara wa tembo huwa na kawaida ya kutokurudi nyuma,ndio maana porini huzioni nyayo za tembo zenye kwenda mbele na kurudi nyuma. Ni ukweli, kuwa tembo ndiye mnyama mkubwa porini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akihojiwa na Star TV katika kipindi cha Agenda kuelekea 2015,jumatatu wiki hii;Makonda alisema Ukawa wanalipwa kiasi hicho kwa siku ndiyo maana wanakataa kurejea BMK ambako posho ni sh laki tatu...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Kikao cha maridhiano kati ya CCM na Ukawa chini ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kimeshindwa kufikia mwafaka. Habari zilizotufikia wakati tukioenda...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Serikali mbili hazikwepeki, Bwana Ismail Jussa upo? Zanzibar huru yenye mamlaka kamili ni jambo la hatari, Inchi ya Zanzibar imekaa kama eneo la kimbinu, kuiachia Zanzibar ijitawale ni sawa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Akiongea katika mjadala Star TV ametanabaisha kuwa walimu walikaa katika mkutano mkuu wa walimu wakamtuma akatetee rasimu na s3.Na katika mkutano huo walimualika waziri mkuu.My Take:Walimu wako...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanaharakati Marcus anaibana kisawasawa CCM kuacha ubabe.Yuko katika mjadala Star TV.Anasema Ukawa kurudi bungeni ni sawa na mtu aliyejeruhiwa na mamba,leo umwambie arudi majini kupigana na mamba...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
KAULI ZA KIZALENDO KWA WATZ Kuna baadhi ya kauli zimenikosha sana kwenye mdahalo uliofanyika pale Ubungo Pearl Hotel. 1. Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na Duniani kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Ndugu wanabodi kinacho fanywa ccm na ukawa nikutufanya wajinga sisi wanchi maana midahalo yote na mikutano yote havina maaana ccm na ukawa waende bungeni wakazungumzie kule Ukawa wanasema kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakuna dalili zozote zinazoashiria kupata katiba mpya ambayo Watanzania wenyewe wamekuwa na hamu yakuwa nayo kwa kushiriki wenyewe katika kutoa maoni yao katika tume iliyoundwa na serikali (TUME...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Kipindi mdahalo ukikaribia kuisha jana walisema kuwa watatoa tamko kesho j.tatu ambalo litakuwa ni kuwaburuza mahakamani hao wanao endelea na mchakato wa katiba bungeni bila kuwepo kwa ukawa.hivo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kikao cha maridhiano kushindikana jana ccm imefanya mkakati wa kuvwahonga wajumbe kutoka ukawa ikiwa ni mbinu ya kudhoofisha nguvu na umoja ndani ya ukawa, mkakakti huo umefanyika na...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mbunge wa Simanjiro mh. Chrisopher Ole Sendeka amewataka viongozi wa dini kuombea bunge la katiba ili kupata katiba inayolifaa taifa kwa maisha ya baadae. Mbunge huyo aliyasema hayo juzi katika...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
JOPO la wataalamu wa masuala ya katiba na usuluhishi wa migogoro, limesema chimbuko la matatizo yaliyojitokeza kwenye Bunge Maalumu la Katiba ni kutozingatia misingi ya Rasimu ya Katiba...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Serikali mbili hazikwepeki, Bwana Ismail Jussa upo? Zanzibar huru yenye mamlaka kamili ni jambo la hatari, Inchi ya Zanzibar imekaa kama eneo la kimbinu (Strategic point), kuiachia Zanzibar...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika siku za karibuni, baada ya hoja ya takwimu za waliopendekeza S3 ni wachache kushindwa kukosa mantiki ya kisayansi na kitafiti. CCM sasa imejikita kwenye hoja, kwamba maoni yote ya mabaraza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom