juzi nimesikia katika vyombo vya habari kuwa Mahakama Thailand imemuamuru waziri mkuu wa Thailand aachie madaraka. Binafsi nilifurahishwa na habari hii kuona zipo nchi zilizotenganisha mihimili...
Salaam wana jf.
Kama kuna ulaghai basi ni huu wa ukawa.sijaona mabadiliko yoyote yanayotarajiwa kupitia huu muungano.
Kwanza vyama vitatu Chadema,Cuf na Nccr vyote viliwahi kushika nafasi ya...
Wana jamvi kuna jamaa wanajiita tanzania kwanza wanao tetea serikali mbili,walitoaga ratiba yao ya kuzunguuka nchi nzima lakini mpaka leo hatuwaoni au wameufyata kwa ukawa?pia kuna kundi la...
Kigoma. Wakati Polisi mkoani Kigoma wakiwa wamemtia nguvuni Katibu Mkuu wa chama cha NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe kwa tuhuma ya kumdhalilisha Rais Jakaya Kikwete, Kiongozi wa Umoja wa Katiba ya...
Baada ya UKAWA kutoka BMK kwa hasira, mbwembwe na tambo nyingi wakijidai kwenda kwa wananchi, nilizifananisha na mbio za sakafuni ambazo huishia ukingoni.
Pamoja na mikutano yao kuzuiwa...
Wanajamvi,
Leo nimemwona dr. Lwaitama akiunga mkono kwa nguvu zote UKAWA.
Hawa ni aina ya wasomi weledi ambao hawafungwi na woga katika kutetea ukweli,wasomi wengine wa mwige dr. Lwaitama, njaa...
Ushahidi mdogo tu unaoonyesha kwamba serikali 3 ni rahisi kuziendesha kuliko serikali 2 unapatikana katika rasimu ya katiba inayojadiliwa sasa hivi Dodoma, ambayo inapigwa vita na kundi la wengi...
Wanajamvi,
Kuna taarifa kuwa timu kabambe ya UKAWA inayoundwa na wabunge wote wa CHADEMA,CUF na NCCR Mageuzi waliopo bungeni kuanzia ijumaa ijayo kuanza ziara ya siku 21 mikoani.
Wataongozwa na...
Katika hali ya kushangaza Dr Bilali amewaangukia wana diaspora akiwaomba wawashawishi ukawa warejee katika bunge la katiba litakaporejea Mwezi wa nane.
Source: Mwananchi news allert
Huku chama...
Katika kipindi cha 'je tutafika chanel ten' muda huu hawa wazee hawataki mabadiriko na hawataki kusoma alama ukutani,watapata BP serikali 3 zitapita tu.
Mbona wanamuenzi mwl Nyerere kwenye mambo...
Haijajulikana nini sababu ila ukawa wamezuiwa kufanya mkutano wao leo hapa kigoma na jeshi la Polisi.
Unafikiri ni sahihi wao kuzuiwa kufanya mkutano wao?
Kutoka Makavani inapitia baadhi ya aya za chapisho la Jaji Joseph Sinde Warioba, lenye kichwa cha Habari Tanzania: Hatima ya Muungano, lililochapishwa July 1994. Kutoka Makavani inaamini hoja hizo...
Kauli hii aliizungumza juzi pale LHRC wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa kituo hicho na kusema we should not shun from problems rathe challenges them
Hii kauli inahitaji tafaluri tunduizi jamani
Mhadhiri Mwanadamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Mjumbe wa zamani wa Tume ya Marekebisho ya Katiba,Prof. Palamaganda John Aidan Mwaluko Kabudi amesema kuwa kama Serikali mbili...
Thailand Jeshi limetwaamadaraka kutokana na mgongano wa kisiasa. inaonekana kutokana na mapungufu katikaserikali na pia maadili ya viongozi hasa PM na hivyo kusababisha kuvuliwamadaraka...
CCM foul play in Katiba process
In principle, and according to the law, which guides the process of constitution making, no new ideas or proposals from any group or institution should be...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU NA BARAZA KUU LA CHADEMA NA VIONGOZI WA BARAZA LA VIJANA MIKOA YA GEITA, MWANZA, SIMIYU NA KAGERA .
UTANGULIZI...
Maoni ya wengi juu ya Katiba Mpya ijayo yalijikita kwenye huduma za Jamii,muungano Nk,lakini Wakasahau kuwa Nyerere aliona mbali sana juu ya jiji la Dam kuwa ipo siku litafurika,Watu,Magari,nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.