Umoja wetu umeendelea kuhujumiwa,jana polisi mkoani Mbeya wametunyima kibali cha kufanya maandamano mkoani hapa.Cha kushangaza zaidi afisa utamaduni wa jiji la Mbeya kwa maagizo ya CCM,amekataa...
Ukawa itasambaratishwa kwa kutumia pesa tu.
Ukitoa ngono, hakuna kitu tunacho kiabudu watanzania kama pesa haijalishi pesa ni halali au haramu.
Kwa kutambua hilo, CCM itatumia pesa kulitawanya...
Salaaammzz,
kama kawaida Mzee wetu Mh. Jaji Warioba leo saa tatu uusiku atakuwa ndani ya nyumba ya ITV akiendelea kukandamiza dozi mpaka mgonjwa apone. Atakuwa akituletea ufafanuzi wa hoja...
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Dk. Willbroad Slaa ambae pia ni kiongozi wa msafa a UKAWA kanda ya kaskazini amesema licha ya kuwepo kwa mvutano wa muundo wa serikali...
Ndugu wanajamvi nimetafakari kwa undani katika kujaribu kuona hoja na maantiki ya vyma vya upinzani kuupinga muungano uliopo wa serikali mbili. Ukiuchunguza kwa umakini aina ya muungano wa vyama...
Umoja wa Katiba ya Wananchi,UKAWA imemtaka Kinana kuelewa kwamba JK ndio mzigo namba moja kwa kushindwa kuwawajibisha walio chini yako.Wametoa mfano wa Kawambwa ambaye Kinana alimwita mzigo lakini...
Ukianzia Lindi kwa Baruan hadi Biharamlo kwa Mbassa, ukitoka Kigoma kusini kwa Kafurila hadi Pemba kwa Mnyaa, Kasikazini kwa Mbowe mpaka Tabora kwa Lipumba. Wengi wamebeza lakini wanaobeza ni wale...
http://youtu.be/4snt_fnGvJc
Wakati akihutubia maelfu ya wananchi wa wilaya ya Urambo katika viwanja vya Wananchi Square, Katibu Mkuu wa CCM, kinana alisema Katiba ya nchi ni jambo zuri lakini...
Wenyeviti wa chadema na cuf, Freeman Mbowe na Ibrahimu Lipumba, wametangaza kuzunguka tanzania bara na zanzibar kuwaeleza wananchi kilichotokea na kinachoendelea bunge maalum la katiba.
Kauli...
Katika hali ya kuchanganyikiwa leo CCM walipita katika soko la Mwanakwerekwe Z'bar na kuanza kuwauliza wafanyabiashara ndogo ndogo "unataka serikali ngapi?" wakipewa jibu ka Serikali 3 "huwauliza...
"Mpango uliopo sasa ndani ya Umoja wetu wa UKAWA ni kuhakikisha kwamba tunawaamsha Wananchi wa vijijini hususani kule Tabora CCM wanakorandaranda kila kukicha na maeneo mengine machache...
Leo Ukawa wanaunguruma hapa Tabora katika viwanja vya Town School. Wanatoa Elimu juu ya Muungano. Waongeaji wakuu no John He he na kiongozi mwandamizi wa NCCR. Watu no wengi sana jamani
Kwa uchache, vifuatavyo ni vifungu vilivyomo katika sura mbalimbali za Rasimu ya Pili ya Katiba ambavyo ni vigumu kumeza kwa wanaCCM, hali iliyowafanya wavuruge zoezi la upatikanaji wa Katiba Mpya...
UMOJA wa Katiba ya Wananchi ( UKAWA ) umepokelwa kwa mabango yanayowapinga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa yaliyokuwa yamebebwa na vijana
Mabango hayo yalikuwa yanasomeka...
Kwasababu wazanzibari wengi walioko dodoma kwenye Bunge la Muungano wanafurahia mandhari, posho, na hali ilivyo, huku wakiwa Zanznibar wanapiga kelele Tanganyika imevaa koti la Muungano, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.