akichangia mawazo yake katika mhadhara ulionendeshwa na kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) uliofanyika Jumamosi Mei 18, Profesa Kabudi ambaye alikonga nyoyo za wengi kwa kuongea kwa hisia...
Hii ni sehemu ya hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Kinana na Nape katika viwanja vya Gombani ya Kale, Pemba.
http://youtu.be/gSl5Pl-1Eh4
http://youtu.be/fzSI6nDlYds
Katibu Mkuu wa CCM, Ndg...
WAKATI mchakato wa mabadiliko ya Katiba ukitarajiwa kuendelea katika ngazi ya Bunge Maalumu la Katiba Agosti mwaka huu, Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu, amesifu...
Wakuu ninakataa kwa herufi kubwa kabisa kuwa ccm hakina vijana wasomi
Ccm kina watoto wa viongozi ambao kichwani ni hewa tupu wapo wengine juzi tumeona hawawezi kujieleza wala kujenga hoja kama...
Habari Makamanda wa UKAWA!!
Ile Siku Tuliyokuwa Tukiingoja Kwa Hamu Hatimaye Imefika,.
Timu ya UKAWA Ikiongozwa Na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba Itarindima Leo Katika Viwanjwa Vya Matarawe...
Inasikitisha sana. Unamkuta mtu msomi kabisa na wengine ni watumishi wa Mungu, lakini wanaeneza uongo wa wazi kabisa kwenye mikutano yao inayoendelea. Wanasema eti watanzania wote walitoa maoni...
Kama mtanzania unaependa mabadiliko unapendekeza jina gani kwa umoja huu wa upinzani unaoelekea uchaguzi mkuu.
Sifikiri kama jina UKAWA linaleta maana nje ya katiba mpya, ni vizuri jina...
Nimesikia viongozi wetu wanakuja uku lakini taarifa haijakamilika na tofauti ilivyozoeleka kuwa na hamasa kubwa ya mikutano ya siasa wakati huu taarifa hazijasambaa vema kabisa. Ebu mnijuze...
Nimeona kwenye vyombo vya habari mara kadhaa viongozi wa dini wakiwaambia ukawa warudi Bungeni akiwamo Shekhe Isa Salum na Askofu Sendoro na wengineo.Hivi hawa viongozi kuna ambae amewaita Ukawa...
..
WAKATI mjadala mkali ukiendelea juu ya muundo unaofaa kudumisha Muungano wa Tanzania; CCM ikiwa imeshikilia muundo wa serikali mbili na Rasimu ya Pili ya katiba inayotokana na maoni ya...
Mjadala unaoendelea nchini kuhusu rasimu ya katiba mpya iliyoandaliwa na Tume ya Warioba iliyoundwa na Rais Kikwete kwenda sambamba na rasimu ya CCM isiyorasmi kuingizwa kwenye bunge la Katiba ni...
Wana jamvi mbona television ya taifa hawa rushi mikutano ya ukawa? Kwani shirika hili haliendeshwi kwakodi za wana ukawa kama watanzania wanao lipa kodi?
Rush to salvage Tanzania's constitution review as deadline draws close
Tanzania Constitution Council picks Kenyan lawyer PLO Lumumba to lead talks, warring parties at CA...
Kitendo cha kada maarufu wa CCM na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG),Jaji Fredrick Werema kumtaka mbunge kutoka Zanzibar akaulize swali kwenye bunge la nchini kwao (BLW) ni ishara tosha kwamba CCM...
Umoja wa Katiba ya wananchi ni vuguvugu jipya kuwahi kutokea Tanzania, kitendo cha vyama vikuu vya upinzani kuwa pamoja ni tendo jema lenye mwelekeo wenye nguvu kuiondoa CCM madarakani lakini...
Kutakuwa na mdahalo wa Tanzania tunayoitaka siku ya Jumapili pale SERENA HOTEL (Zamani Moevenpick) ambao utarushwa moja kwa moja na ITV/Radio 1. Wahusika wakuu watakuwa Makatoibu wakuu wa vyama...
Ni mara baada ya Vincent Nyerere kumaliza kutoa ufafanuzi wa hoja za wachache katka kamati namba 8. Kabla tu ya bunge kuahrishwa gafla umeme ukakatika na giza nene kutawala mpaka mwsho wa shuguli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.