Sana jamvi,kitendo cha John Komba kumtolea matusi jaji mstaafu mh,Joseph Warioba bungeni juzi kwa kumuita kuwa ana upungufu Wa akili na maneno mengi ya kashfa ni cha kulaaniwa na jamii ya wapenda...
mbunge wa viti maalum martha mlata akichangia mjadala katika bajeti ya wizara ya sheria na katiba bungeni hivi punde, amesema kuwa wabunge waliotoka bungeni na kususia vikao vya bunge huku wakiwa...
umoja wa katiba ya wananchi UKAWA,Tumaini la watanzania wafanya mkutano mkubwa makambako, mchumi wa dunia prof lipumba akiongozana na makamanda wa chadema, cuf na nccr mageuzi,wakitoa elimu juu...
Mh Aggrey Mwanry anapotosha bunge kwa kusema katumwa na wananchi wa siha serikali mbili. Tuna kata 12 vijiji 39 vitongoji 109.
Sasa wewe muongo ulikaa na wananchi wa kata ipi kati a hizo,kijiji...
Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uratibu na Uhusiano), Stephen Wassira amewatisha wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kwamba wasiporejea bungeni, kanuni zitabadilishwa na Bunge...
Mheshimiwa Lukuvi kwa mara nyingine amesema maneno yanayochoma sana bungeni muda huu. Amesema kuwa wabunge wa UKAWA wanasema kuwa wana mkanda wa video unaomuonesha Lukuvi akileta uchochezi wa...
Ladies and gentlemen, let's be frank here, the proposed three tier government structure is not compatible with the country's dream of joining its neighbours in political matrimony. is it possible...
KIONGOZI wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Helen Clark, ameshauri wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kurejea kujadili...
Angalia picha ya mwanzo wakati waasisi wa Muungano wa Tz walipokuwa wanaweka saini mkataba wa Muungano. Na picha ya pili wakati wanakabidhiana nyaraka hizo. Jee hamuoni kuna kitu kimekosekana.
UTANGULIZI
Najitokeza kuandika walaka huu huku nikitambua ya kwamba Rais Nyerere alisema maadui watatu wa taifa ni ujinga, maradhi na umaskini lakini mimi Kaberwa nasema maadui wetu ni uvivu, uoga...
Arusha. Kero za Muungano zimetokea kuwa msamiati maarufu katika siku za karibuni nchini, hasa pale ulipoanza mchakato wa kupatikana kwa Katiba mpya.Wengi wamekuwa wakieleza kuwa kero zipo lukuki...
Hoja za mh.Lissu akitetea muundo wa serikali 3 zilizingatia maandiko na tafiti za Mwakyembe na wengine. Mh.Mwakyembe alikanusha hoja za T. Lissu wakati Lissu amenukuu maandiko hayo kwa sawia...
Naona msafara wa Dr.Slaa na gari la matangazo ndio unaingia jiji la Arusha. Tayari kwa mkutano utakaofanyika leo saa tisa katika viwanja vya samunge. Mzee Slaa akiwa ndani ya gari aina ya...
Wana jf habari za mchana,mda huu shamlashamla za ukawa ndo zimeanza watu wana miminika kwenda kwenye mkutano kusikiliza sela za ukawa viwanja vya shy com by mm mwenyewe
Ukifuatila vyombo vya habari hapa nchini utabaki unashangaa, viongozi wa UKAWA wako field mikoani wanatoa elimu ya uraia kwa wananchi lakini hawaripoti habari zao, cha kushangaza Kinana anaefanya...
nauliza hiviiii.... Kwanini babu julius aliamua kuchanganya huu udongo wa unaoitwa muungano wa tanganyika na zanzibar akiwa peke yakeee???? Je mzee karume alikuwa wapi?? Maana hata kwenye hii...
katika miaka ya karibuni nimegundua viongozi wengi wa ccm ni wababaishaji. Mfano mzuru ni nape nnauye-katibu mwenezi pamoja na paul makonda. Embu wataje wengine ili tupate kuwajua..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.