Ni baada ya kumalizika shughuli za Jaji warioba kumkabidhi rasimu Mh. Rais Jk kikwete na viongozi wengine baada ya hapo Waziri Mkuu Pinda alionyesha Vidole viwili vya mkono kumuonyesha Maalim Seif...
Huu mvutano wa muundo wa serikali unasababishwa na chadema maana wao wapo kwa ajili ya kupinga kila jambo hata kama ni baya na halina maslahi kwa wananchi.
Kwani kazi ya chama cha upinzani ni...
Siasa za Tanzania za ajabu sana! Wakati CCM wanawakebehi UKAWA kwenda kwa wananchi wao wameshajipanga kuzunguka nchi nzima pale walipopita wapinzani wao na sehemu zingine kuelezea masuala...
Kwanini kwa umoja wenu huo mlionao msiutumie kutimiza matakwa yenu bunge la katiba, instead mnapewa forum hamtumii na kututishia tu what you might do. Sasa mchakato mmeukacha, bdo uchaguzi...
Nitawaongoza kwa utumishi uliotukuka na uadilifu ili tupate Katiba bora, yenye viwango na kwa wakati. Nina hulka ya kuwapenda wale ninaowaongoza, kwa hiyo nitakuwa mtetezi wa shughuli...
Wakuu naomba wataalamu ya sheria na wachambuaji wa mambo ya Katiba watufafanulie vizuri. Raisi Kikwete aliteua Tume maalumu chini ya Uenyekiti wa Jaji Warioba, akaituma ikamfanyie kazi ya kupata...
Wana JF,
Nimekuwa nikitafakari sana tangu kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba mpya(BMK) kuhusu nafasi ya Zanzibar kwenye msimamo wa walio wengi Bungeni-CCM wanaong'ang'ania maoni ya chama chao ya...
Nimeshangazwa sana na kauli za ukawa kwa ujumla, baada ya kutoka bungeni ktk bunge maalumu la katiba walisema wameamua kujitoa baada ya kubaguliwa pamoja na vijembe kutoka kwa wabunge wa chama...
Leo tarehe 07.05.2014 ni miezi kama kumi na sita (16) imebaki kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa JMT swali hili ni kwetu watanzania ni kweli hawa viongozi wetu walikuwa na dhamira ya dhati...
Alama ya chadema inawapa wakati mgumu ccm wakati wa kuonesha vidole viwili wakimaanisha serikali mbili kwa kuhofia kuonesha alama ya chadema hivyo kuwabidi watumie mikono yote kwa kunyoosha kidole...
Wana jamvi nimegundua wanao ng'ang'ania mfumo wa serikali 2 katika katiba mpya hofu yao wana ogopa kukosa vyeo na nafasi za kuteuliwa maana rasimu imependekeza kuondolewa viti maalum,kupunguza...
Endapo kumbe kikundi cha UKAWA wameonesha "njia" ya kutengeneza Katiba Mpya kupitia Maandamano na Mikutano ya Hadhara:
1. Kulikuwa na haja gani ya Tume kukusanya maoni ya wananchi wakati tukifanya...
Tuwe na nchi moja yenye serikali moja ila mihimili ya serikali iwe mitatu yenye mamlaka kamili namanisha watendaji wa kila mhimili wasipatikane kwa kuteuliwa na mhimili wa pili au fedha za...
Nimemsikiliza Nape Nnauye akitoa briefing za CC ya CCM Dodoma, akisema kuwa wamsikitishwa na Ukawa kutoka Bungeni na kwenda kwa wananchi. Hata hivyo akaongeza kuwa wao walikwenda kujibu uongo wa...
Baada ya bunge maalum la katiba ni wananchi kupiga kura ya maamuzi. Tatizo ni jinsi utaratibu unavyotulazimisha wananchi kupiga kula moja tu kwa katiba nzima. Yaani ukikataa umekataa yote na...
mikakati ya UKAWA imevuja,soma hapa
MUHTASARI WA KIKAO CHA UKAWA-NJE CHA TAREHE 27-3-2014 MAKAO MAKUU YA CHADEMA
WALIOHUDHURIA:
1. DR. WILBROAD SLAA Katibu Mkuu CHADEMA
2. Eng. MOSENA J. NYAMBABE...
Kumbuka maneno haya ya kapuya sambamba na Komba kuingia msituni
MAKOSA YA PROF. JUMA KAPUYA.
Bila kuathiri sharia ya Ubakaji, Prof Kapuya anaonekana na muogopa Binti huyo na kuashiria kuwa...
May 4th 2014
NAPE NNAUYE AKIHUTUBIA WAKAZI WA PEMBA
Nape Nnauye akihutubia wananchi wa mikoa miwili ya Pemba kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Gombani ya Kale.
YOUTUBE.COM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.