KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Members, Nimeona nilete suala hili jukwaani ili tupate mrejesho toka vyuoni nchini kote. Ni kwamba kuna kundi la viongozi wa ccm wanapita vyuoni wakiwataka wanavyuo wa mwaka wa mwisho wajiunge na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF, Binafsi naomba nitumie nafasi hii kwa kulipongeza Shirika la Utangazaji la Tanzania, Kupitia kituo chake cha TBC 1 kwa kutuletea matangazo ya moja kwa moja (yaani live) ya Bunge Maalum...
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Jaman watanzania tunaelekea wap!!! mbona tunabuluzwa na selekali ya ccm sasa niwakat wetu kuonyesha msimamo wetu sisi wenyewe tumechoswa na poropogada zao.wewe mtanzania urie nauchungu na nchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini za asibuhi wapenzi na members wa Jf Natumai kila mtu yuko vizuri na anaendelea na majukumu yake kama kawaida, na kama kuna mtu hayuko vizuri napenda nitunie fursa hii kumuombea kwa Muumba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu moto wa UKAWA si tu unawachoma CCM bali hata serikali yao,kwa mujibu wa chanzo changu cha habari kilicho karibu na watu wa idara nyeti,ni kwamba kutokana na nondo nzito alizokuwa akizitoa...
14 Reactions
179 Replies
20K Views
Ieleweke kuwa, UKAWA waliaminiwa kwa kazi moja ya Kushiriki Bunge na Kufanya Mchakato wa Kutengeneza Katiba Mpya. Wameacha Malengo hayo na sasa wameingi katika Mgogoro mwingine wa Kutengeneza...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Katika tukio la kutia fola jana katika mdahalo wa rasimu katika serena hotel ni lile la dr mmoja jina limenitoka alipo nyang'anywa mc baada ya kushambulia ukawa kwa kusema wame saliti wa tanzania...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakazi wa Zanzibar wakiitikia salamu wakati Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Abdulrahman Kinana alipokuwa akihutubia katika Viwanja vya Kibandamaiti. Zanzibar. Mnadhimu wa Baraza la...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ukiwasikia baadhi ya wanaCCM kwa juujuu utasikia wanasema wangependa kukaa pamoja kufanya maridhiano na UKAWA ili warudi bungeni kuendelea na mchakato wa katiba mpya. Mfano ni kauli ya Vuai Ali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana matangazo yalikatika na hivyo wengi wa wanjf kupata updates kwa waliokuwa kiwanjani. hapa chini ni video ya nini kilijiri jana.
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Katika kura ya maoni iliyoendeshwa hapa JF kwa siku mbili yaani tarehe 3 - 4/5/2014 kuhusu nani anakukubalika zaidi kati ya UKAWA au CCM kwa wananchi juu ya katiba mpya. Kura zimehesabiwa na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wa JF,Huwa nafatilia sana habari kuhusu mchakato wa katiba mpya,nmeshangaazwa kuona Tundu Lisu na UKAWA kwa ujumla wakijifanya jinsi gani wanaonesha kujali wazanzibar kwa kushinikiza...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Ni takariban saa sita usiku, ndo nafika nyumbani, inatoka kwenye Harusi ya Rafiki yangu hapa hapa Dsm. , japo nimechoka lakini silali. Ninashindwa kulala kwa amani mpaka niliweke hewani...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wana Ukumbi, Kikundi cha umoja wa kutetea katiba ya wananchi (UKAWA) kimepata ufadhili kutoka kwa vyama rafiki wa CHADEMA na vile vya kiliberali ikiwa ni pamoja na fedha taslimu kiasi cha TZS...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Umoja wa katiba ya wananchi, ukawa haupo kisheria, ni mkusanyiko wa watu waliojiunda unda from no where. Hadi hivi sasa wameshahama kwenye lengo lake, kitendo ambacho kinaelezwa kuwa ni hatari kwa...
0 Reactions
141 Replies
9K Views
Paul C. Makonda Chama Cha Mapinduzi kiko Imara sana wakati huu pengine kuliko katika kipindi chochote kilichowahi kutokea. Ndugu Watanzania; Jana Nimeangalia Mdahalo wa "Tanzania Tunayoitaka"...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
CCM imepagawa baada ya kuona UKAWA imekubalika na wananchi walio wengi. Kuna uwezekano wa kuinyima ruhusa UKAWA kufanya mikutano ya hadhara Bara kwa kisingizio UKAWA si chama cha siasa na kwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu mwenye taarifa za kufanyika kwa mkutano wa UKAWA pale Jangwani Dar Es Salaam leo tarehe 5.5.2014 kama tulivyotangaziwa juzi. Naona mpaka sasa hakuna taarifa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ni kama upepo mbaya umepita na umepiga pigo kuu ndani ya medula za wahafidhina na wababe wa ubwanyenye. Mchakato wa Katiba mpya ulipoanza mwaka 2011 hasa kwenye sheria ya marekebisho ya katiba...
8 Reactions
48 Replies
6K Views
Hiyo ndiyo Formula ya muundo wa Taifa letu,but mimi kwa ufahamu wangu ni kwamba tatizo la muundo wa Muungano limejificha kwenye muundo wa chama Tawala,baada ya kuunganisha TANU na ASP mwaka 1977...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom