KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Alianza kwa kuwasifu wapemba kwa ujasiri wao kuonyesha namna gani ccm iliyvokosa hata diwani pemba, muwakilishi, mbunge hata wa dawa na hata rais kwa ticket ya ccm. ‘’Kwa hiyo kama kuna mahali...
7 Reactions
55 Replies
7K Views
Wakati wakiwa Dodoma kwenye BMK kila mbunge wa ccm akisimama anadai ametumwa na wapiga kura wake wanataka muundo wa serikali 2. Sasa kwanini wanaenda tena kwa wananchi wakati wameshapata maelezo?
2 Reactions
1 Replies
843 Views
Utangulizi UKAWA ni Umoja wa kutafuta Katiba ya Wananchi ambapo inaundwa na vyama vya Chadema, CUF na NCCR Mageuzi. CCM ni chama cha siasa kinachotawala hapa Tanzania. UKAWA na CCM wamevutana na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Bunge Maalumu la Katiba limepumzika kwa muda wa angalau miezi mitatu, nasi Watanzania wafuatiliaji wa Bunge hilo tumepumzika na matusi,angalau masikio yetu yatapumua kidogo. Akielezea hali...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Ameyasema jana katika mjadaharo wa katiba itv
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
Tumekaa barzani tukimtafakari Sheikh Jongo na kilio chake ndani ya Bunge Maalum la Katiba. Kuna waliosema ni uchuro wako waliosema alikuwa katika kugombea tuzo kubwa duniani ya uigizaji ile ya...
28 Reactions
240 Replies
30K Views
Baada ya matusi, kejeli na kelele katika siku 70 za Bunge la Katiba, nasubiri sasa CCM wajitizame na ili wananchi wawaamini kile wanachong'ang'ania (eti kwa niaba yao) basi Bunge la Katiba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi, leo hii namaanisha 4.5.2014, jumapili, kutakuwa na mjadala kuhusu rasmu ya katiba. miongoni mwa wageni ni mh. Jussa kutoka CUF, Nape-ccm, bwana mdogo Polepole, nawengineo...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wana jamvi taarifa toka pemba zina arifu kuwa hali ni mbaya katika mkutano ulio kusudiwa kufanyika leo uwanja wa gombani,mpaka muda huu watu wanatafutwa kwa posho lakini bado hali...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Kumbe haya mambo yameota mizizi nimemsikiza Mh.Tundu Lisu(jembe)akiwataja aliyekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar Kassim Hanga na wengine Abdulla Twalla,Mbungi Ussi na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema anayetulinda na kutupigania Watanzania tulio wengi kila iitwapo leo. Sio siri Watanzania tulio wengi tunaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Mungu...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Amesema ukawa watarudi mjengoni kama tu hoja zitakazo jadiliwa zitajikita kwenye rasimu yenyewe na wale wanao leta mfumo wa serikali 2 waondoe hoja hiyo kwakua haipo kwenye rasimu iliyopo bungeni;
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanaojiita walio wengi huko bunge la katiba wanasema takwimu za Warioba ni feki na hata wamefikia hatua ya kuingiza mambo ambayo ni tofauti kabisa na yale yaliyowasilishwa na tume. Kama hivyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Haya tena wadau, La mgambo likilia lina jambo, East Africa Business & Media Training Institute ikishirikiana na East Africa School of Journalism and Broadcasting, inakuletea mdahalo wa Bunge la...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kamati namba tano ni moja ya kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba, zilizoundwa na kuanza kuboresha Rasimu ya Pili ya Katiba, Machi 31 mwaka huu. Tayari kamati zote zimeboresha Sura ya kwanza na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa toka kwa mnyetishaii wetu zinasema kuwa UKAWA wamekaa kikao na kukubaliana kwamba yeyote atakayehongwa asikatae kuchukua pesa za CCM, na akishachukua tu watafanya yafuatayo: 1. Watafungua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mliofuatilia video ya mkutano wa ukawa kule pemba naamini mnaweza kushangazwa na hutuba ya mheshimiwa lissu.mheshimiwa huyo .akihutubia mkutano huo,aliwaita watoke mbele wajumbe wa bunge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakati umefika wa kuwasikiliza watanzania juu ya uhitajio wao wa mabadiliko kwani hata mwalimu angekuwepo angeendana na wimbi hili la mabadiliko ya muundo wa muungano
0 Reactions
1 Replies
824 Views
Wakati Tindu Lissu akiwatambulisha wawakilshi wa UKAWA na wazanzibari kuwapigia makofi je hii ni alama ya wazanzibar kutokubaliana na CCM kuwa CDM ni chama cha udini,,,,,,Je wazanzibari wameanza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilikua napenda kufahamu Warioba akiwa anafanya kazi kama waziri mkuu alisimamia jambo gani kubwa kitaifa likafana?mfano Moringe utaifishaji,Lowassa shule za kata. Je kwa jaji huyu alifanikisha...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom