Mbunge wa kigoma kaskazini kupitia chadema mheshimiwa Zitto kabwe amesema kwamba serikali tatu zitaleta uwazi zaidi kwani hata sasa serikali ziliizopo ni serikali tatu kwani kuna wizara nyingi tu...
JK ameongeza siku 60 ili bunge la katiba likamilishe kazi yake na kutuletea rasimu ya katiba iliyoboreshwa ili wananchi tuipigie kura ya maoni!
Endapo muda huo utapita bila bunge kukamilisha...
Mbunge wa Karagwe leo amezungumza kwenye bunge la katiba na kusema kuwa yeye na Wabunge wenzake wa Kagera, Rweikiza, Katagira na Mshana walizunguka mkoa mzima na kuwauliza wananchi wanataka...
Wanajamvi heshima kwenu.
Nimetumia muda mefu sana kufanya utafiti ni kwa nini CCM wanang'ang'ania serikali mbili lakini mpaka hivi leo sijapata sababu yoyote ya msingi.
Nimekuwa nikiamini kuwa...
Wakati bunge la mabadiliko ya katiba linaanza UKAWA walionekana siyo lolote ndani ya BMK. Mijadala ilivyoendelea kupamba moto na tofauti za misimamo kujitokeza dhahiri baadhi ya wajumbe waliamua...
Salaam aleikum.
Kwa kweli kilichokosekana kwa kipindi chote ambacho BMK lilijadili kuhusu muundo muafaka wa serikali ni pande zote zinazopingana kutoelezea kwa ufasaha mantiki (nashindwa kupata...
Wadau;
Mambo NDANI ya CCM yanazidi kutoa nuru Mpya kwa ukombozi wa Tanganyika na Z'bar huru.
Hali ya utulivu NDANI ya ccm inaelekea kuvurugika sana (kama nilivyodokezewa na mdau wa NDANI...
Bunge la katiba tayari limegeuka kuwa bunge la katiba ya CCM. Ukawa warudi au wasirudi maoni yao hayataweza kusikilizwa wala kuingizwa kwenye katiba mama. CCM kwa wingi walionao BMK wanaweza...
CCM yamelalamika sana kuhusu takwimu za tume ya mabadiliko ya katiba. Kati ya malalamiko yao ni kuachwa kwa maoni ya mabaraza ya kata. Kwa kuwasaidia CCM, yafuatayo ni majibu kwa nini maoni ya...
Hatimaye Jaji Warioba amefunga na kusikitishwa na upotoshaji mkubwa sana unaendeshwa na viongozi wa CCM juu ya Rasimu ya katiba.
Amesema kuna uongo unaokuzwa kuwa Serikali tatu inasababisha...
Kwa muda mrefu tuliaminishwa na mashabiki wa CUF, almaarufu kama CCM B, pamoja na mashabiki na hata baadhi ya viongozi wa CCM kwamba CHADEMA ni "Chama cha Wakristo!"
Sisi wengine tuliokuwa...
Nadhani ni muhimu kujihoji swali hili muda huu ambao jaji warioba amekuwa akitukanwa na watu wengi ndani na nje ya chama chake.ametukanwa ndani a bunge maalumu la katiba eti amechakachua maoni ya...
Baada ya kupitia na kuona Hadidu za rejea ilizopewa Tume na rejea ya Dira waliyojipangia wenyewe nimegundua Tume imevunja sheria hiyo kIFUNGU CHA (bara ya 2) Kuhakikisha uwepo wa Jamhuri ya...
Zanzibar. Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wameapa kuendelea kudai mfumo wa Muungano wa serikali tatu nje ya Bunge la Katiba kwa nguvu zote, ikiwamo kufanya maandamano ya amani...
Ndugu zanguni,
Wengi hapa jamvini mnanifahamu kwa msimamo wangu wa kutoupenda muungano kwa sababu ya kelele za akina yakhe. Na nilifikia hadi kipindi kukubaliana na hoja za Lisu na Jussa.
CCM...
Tangu zamani waislamu na wakristo tumekuwa tukiishi kama ndugu huku tukishirikiana katika mambo mbali mbali ya kimaisha lakini kuna baadhi ya watu ambao wanataka kutugombanisha kwa maslahi yao...
Dar es Salaam. Hatimaye mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), uliokuwa umezuiwa kupisha sherehe za Muungano utafanyika leo katika Viwanja vya Kibandamaiti, Unguja baada ya kupata baraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.