KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
CCM IMETOA WAPI HII YA MBILI? Sikia hii; "Shetani alimjaribu Yesu mara 3, Petro alimkana Yesu mara 3, jogoo aliwika mara 3, Yesu alifufuka siku ya 3, wanawake walienda kaburini siku ya 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umefafanua hoja ya kuanzisha ushirikiano katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni kujenga serikali imara yenye kuheshimu matakwa ya wananchi. UKAWA inaundwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza kusikia akichangia bunge la katiba leo asubuhi nimejifunza mambo makuu yafuatayo. 1.Mwalimu hawawezi kukufundisha kila kitu anachokijua kwa kuwa anajua ukijua kila kitu unaweza...
1 Reactions
287 Replies
34K Views
Ma CCM ni maoga na yana kampeni za kizamani nadhani mengi yao yamezaliwa BBC au Born Before Computers ila sasa ni before technology .Hadi viongozi wa vijikanisa wa kutoka Mbeya wakaingia mkenge na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Angalia Mkutano wa Pemba hapa http://www.youtube.com/watch?v=9O6mftidYc0 http://www.youtube.com/watch?v=omB1yj9DAnw http://www.youtube.com/watch?v=TCyTXvpz8lk...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Inashangaza wala haishangazi kuona unafik wa mtu anayeambiwa eti ni ‘mwanasiasa mkongwe na aliyebobea'. Haishangazi kwa sababu unafik wake Kingunge ni sawa na ule ule unafik wa CCM na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
BMK lilianza kwa kasoro za hapa na pale lakini kubwa zaidi ni kitendo cha kundi linaloitwa UKAWA kuamua kususia mchakato mzima.Je matokeo yatakayopatikana baada ya BMK kumaliza mchakato yatakuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ccm watakua na mkutano pemba leo na kesho watakua kibanda maiti kujibu hoja za ukAwa UKAWA wametuonesha njia wa zanzibari hawahadaiki na ulaghai wa ccm abadan ZANZibar huruuuuu
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu, Iwe mwisho kwa raia yeyote hasa wale walioko kwenye mihimili ya serikali kujiita na kutuhubiria UZALENDO ikiwa mtu huyo hajajiunga na timu ya WAZALENDO ya UKAWA!! Napendekeza hivi...
0 Reactions
3 Replies
901 Views
Profesa Lipumba alitoa kauli hiyo wakati akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Pangani katika mwendelezo wa mikutano ya chama hicho 'kuwazindua Watanzania katika kujenga demokrasia ya kweli...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Akihutubia wafanyakazi wachache sana waliojitokeza kwenye sherehe za Mei Mosi leo uwanja wa Uhuru, JK ameendelea kuonyesha kama ajali nguvu ya ukawa nje ya Bunge la katiba. Ameendelea kudhani kuwa...
6 Reactions
80 Replies
8K Views
Kila ninavyoliwaza jambo lenyewe naona kiza kipana kimetanda si tu kwangu bali kwa wanaUKAWA wenyewe. Kiza hiki ni kutokana na mgawanyiko wa kimaslahi ndani ya wanaukawa wenyewe. wapo katika...
8 Reactions
106 Replies
9K Views
Zomea zomea ilioanza Visiwani Z'Bar zidi ya wasaliti, Jana ilimkumba Mwakilishi wa Koani Mussa Ali Hassan Written by makame silima // 02/05/2014 // Habari // 3 Comments Kulia ni Muwakilishi wa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Waungwana Wassira yupo TBC Live akijadili juu ya katiba. Tumsikilize na tumuhoji maana simu zinapokelewa. Fuatilieni kipindi.
2 Reactions
79 Replies
6K Views
Mbunge wa mbinga magharib Captain john komba juzi siku ya Ijumaa KUU alitembelea parokia ya Tingi huku akiwa na nia ya kuhudhuria misa takatifu ya ijumaa kuu pamoja na kuteta jambo na wahumini wa...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema wananchi wakiwaona UKAWA wawafukuze kwa mawe. Ameyasema hayo akihojiwa na Antony Joseph wa RADIO WAPO FM kuhusiana na uamuzi wa UKAWA kwenda...
4 Reactions
81 Replies
9K Views
Taarifa toka katika gazeti moja la leo la mtanzania 29/4/2014 limeripoti kuwa UKAWA wanajiandaa kumfungulia kesi mwanasheria mkuu wa serikali juu ya wa mjadala wa rasimu bungeni. Mashtaka yake...
5 Reactions
99 Replies
11K Views
Kama kwenye bunge la katiba kuna watu ambao wanashindwa kuendana na kasi na changamoto zake, basi wawapishe watu wengine wakawatafutie wananchi katiba bora.Ni hayo 2 kwa leo
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Nikiangalia uelewa ambao wananchi wameupata kuhusu kuwa na nchi ya Tanganyika, nchi ya Zanzibar, na serikali ya shirikisho (federal government) naona ni vigumu tena kuwadanganya wananchi. Katika...
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Hii combination imewachanganya magamba kiasi kwamba wanaludi na stori za zamani zenye kuvunja ukawa... Yaliyopita sindwele tugange yajayo ukawa mungu yupo nanyi ya nyuma hatuangalii tena...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom