- Mimi ni Mtanzania, nimezaliwa na kukulia Tanzania, nimesoma bure wakati wa UtAwala wa Baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere, and then nikaenda Jeshi La Kujenga Taifa kwa mujibu wa Sheria kwenda...
Inaonekana wazi kwamba CCM wameliteka bunge la katiba na kuna kila dalili kwamba wanataka kututungia katiba ya CCM. Lengo la tume ya Warioba lilikuwa ni kukusanya maoni ya wananchi na hatimaye...
Ukisikia akutukanaye hakuchagulii tusi! ni kweli kabisa! leo saa moja usiku kupitia kituo cha ITV nikiwa na akili timamu nimemsikia na kumuona mhe. Ngawahiya akisema hadhi ya Rais wa Zanzazibar...
Wanajamvi
Wakati wana UKAWA Jumamosi wakiwa Zanzibar kutetea Rasimu yenye Maoni ya Wananchi dhidi ya Kuondoa kero kuu ya Zanzibar kumezwa na Tanganyika inayojiita Tanzania.
Baadhi ya...
Hatimaye, Bwana Lukuvi ametegua kitendawili cha kwanini CCM inapigania muundo wa serikali mbili kwa nguvu za ajabu ikiwemo propoganda, uongo, upotoshaji, hujuma ktk mchakato, kura ya wazi...
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa anatarajia kufanya mkutano na waandishi wa habari mchana huu Makao Makuu ya Chama Kinondoni DSM.
Kiongozi huyo wa Chadema anatarajiwa kufuatana na...
Wanajamvi
Wakati wana UKAWA Jumamosi wakiwa Zanzibar kutetea Rasimu yenye Maoni ya Wananchi dhidi ya Kuondoa kero kuu ya Zanzibar kumezwa na Tanganyika inayojiita Tanzania.
Baadhi ya...
Jibu lako liko jikoni.
Lukuvi hakustahili kufikia kusema masuala ya udini kanisani tena kwa suala la Zanzibar nchi yenye waislamu asilimia 99%
Nilidhani pale alipoitwa na spika...
Hiki chama cha Chadema kitajuta kumtukana muasisi wa hili taifa,kitajuta Na hakitabaki salama,huu ni ufunuo ambao hakika hautapita.
Ibrahimu katika biblia anaitwa Babà,wa imani ni haijalishi...
HABARI ZA SAA HIZI WAKUU
KUNA TAARIFA KWAMBA CHAMA CAHA MAPINDUZI CCM wameamua kasambaza wanachama wao nchi nzima kuhakikisha kwamba wanaifuta kauli ya MH. Lisu aliyoitoa bungeni katika siku za...
jamani haya ni maoni yangu binafsi.na naomba yaheshimiwe.
Kebehi na maneno ya dharau juu ya waasisi wa taifa hili ni kosa la uhaini.kwasababu haukatazwi kujadili mawazo yao ila ni mwiko kutoa...
Wadau mimi ni mkristu, ninawaheshimu sana tena sana viongozi wa dini kwenye mambo haya ya dini.
Niwatahadharishe hawa viongozi wa dini kuwa chama chochote kilichopo ikulu kinapoanza kukumbwa na...
Mimi sitasema mengi ila natoa wito kwa viongozi wa UKAWA kutokuomba kuonan na raisi na wala kutokubali mwaliko wowote ule kutoka Ikulu kwa madhumuni ya kufanya maongezi ili kupata muafaka baada ya...
Lazima tujiulize na hawa wanaojiita wazalendo kwenye bunge la katiba.
Posho imetoka leo saa 5 asubuh wamelipwa hadi tarehe 30. Sasa hawa wajumbe waliotoka nje kwa nini wasingetoka siku zilizopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.