CCM kwa kushirikiana na serikali yake wanahangaika kuiaminisha jamii kuwa Tundu Lisu aliwatukana waasisi wetu na Mwl Nyerere. Kwa mtu makini na mwenye akili timamu hawezi kuyumbishwa na...
Msisite kugawa nchi yetu, kwenye hiyo katiba "yenu" mpya.
Ila kumbukeni. Mkiwapa Zanzibar nchi yao kwa kuunda serikali tatu basi nasi wananchi wa kusini tutataka tupate nchi yetu kama jamuhuri...
UKAWA: Uamuzi mliochukua wa kuwaachia bunge lao na kuanza kuandamana ni sahihi, maana bila kufanya hivyo watapiitisha katiba yenye mambo yao ya ufisadi ya na unyanyasaji.hakuna kurudi bungeni ili...
SIKU moja baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na kauli za chuki, wananchi na vyama vya upinzani...
Leo katika kipindi cha KUMEPAMBAZUKA kinachorushwa hewani na kituo cha Radio cha RADIO ONE STERIO nimemsikia Kamanda Aikael Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa UKAWA kutoka nje ya bunge maalumu la...
Viongozi wetu wa CHADEMA wanaishi kwa ulaghai, udanganyifu, uongo na unafiki.
Mmewashawishi "bendera yafuata upepo" wa CUF na NCCR mageuzi(UKAWA) ili mjifanye wasafi.
Kumbukeni katiba si...
Chama cha wacheza bao wameandaa maandamano makubwa kupinga mwalimu nyerere kutukanwa na tundu lisu.
Maandamano yatakuwa siku ya jumamos kwa wale wote wanaopenda kujumuika wawasiliane na kiongozi...
Naomba mnijuze wanajamvi km mh.Zitto nae alikuwa sehemu ya Ukawa jana. Km atakuwa ameungana na Ukawa natangaza rasmi kumsamehe makosa yake yote aliyotenda ndani na nje ya Chadema na kuanzia leo km...
Keep the dream alive. Pasaka njema ndugu watanzania .Many nights we've prayed
With no proof anyone could hear
In our hearts a hopeful song
We barely understood
Now we are not afraid...
Binafsi, nimesikitishwa sana na baadhi ya wajumbe ambao wamekazana sana kuwatukana waasisi wetu kwa kuwaita wamechakachua takwimu za rasimu za katiba mpya.
Waasisi hawa ni;
Joseph Sinde Waryoba...
Kwa wale wapemba na waunguja mnaoendaga imarati. Nimemsikia mzee wenu Yahya Kassim akisema @ 2:24 kuwa waarabu huwa wanajiuliza wataipata serekali ya ya zanzibar lini? . pia @ 2:38 anasema...
Heri ya ijumaa kuu! Wanabodi huyu jamaa ni mwanasheria au msakatonge?
Jana wakati anachambua rasmu ya katiba anasema tume ya jaji warioba haikuwa na mamlaka ya kukusanya maoni juu ya muundo wa...
Kila mwenye kupenda amani! Tuitumie ijumaa hii ya leo kumuomba mwenyezi mungu atuepushe na majanga mbalimbali hapa nchini! Isitokee tuingie ktk vurugu kubwa zitakazosababishwa na wana siasa...
Tangu asubuhi leo hii hapa mjini moshi kumekuwa na maandalizi ya maandamano makubwa yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni kumpinga mh. lisu kwa kutoa maneno yasiyo faa zidi ya mwalimu nyerere.
Fuatilia hapa kwa yanayojiri bungeni leo.
Mh. Zarina MAdabida
Anasema watanzania wawe makini na hawa wajumbe wanaotaka kusababisha umwagaji wa damu hapa tanzania.
Anasema ukwa...
Sikujua km kuwa mbowe ktk siasa za TZ ni shida sana..Mbowe anapakwa matopwe sana..na mara nyingi kupakwa matope na watu walewale na kuliliwa ktk mambo yaleyale ila kwa pande mbili..Mbowe anaweza...
Nawaza tu!...
Endapo tutavunja huu muungano:
1. watanganyika tutapoteza siku tatu za mapunziko
(i) Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar - 12/jan
(ii) Karume Day 7/april na
(iii) Siku ya...
Ukimya wa mkuu wa majeshi generali D Mwamunyange kuhusu kauli ya Lukuvi jeshi watachukua nchi iwapo s3 itapita kunatia mashaka. Jenerali yeyote anayeheshimu demokrasia angekanusha kwa nguvu zote...
Wajumbe wa bunge la katiba wanaotokana na CCM wanatamba katika bunge la katiba kwamba wao wapo wengi na hivyo kwamba wana uhakika chochote watakachotaka kukipitisha kitapita. Wameanza na suala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.