KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa sherehe za Kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, zingekuwa zinamkejeli moja kwa moja Mwalimu kama Katiba...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Ndugu wana JF Katika kipindi cha HOTMIX Mwenyekiti wa wasanii wa BONGO MOVIES amewasihi wasanii wenzake na wananchi wote wa Tanzania kupiga kura ya NDIYO kwenye rasimu ya tatu iliyopendekezwa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Tumejadili. Tumeandika. Tumepitisha. Tumecheza na kurukaruka. Tumekabidhi. Tusubiri kura ya maoni. Tusubiri wananchi wapitishe au wakwamishe. Kilichotokea wakati wa mjadala,uandishi na...
11 Reactions
32 Replies
4K Views
Ukisikia mambo mazuri ni hayo Mwanasheria wa Zanzibar OTHMAN (AG) amefanya. Tuna hulka kwa watu wastaarabu kulaani matendo mabovu na kusifia au kupongeza matendo mema. OTHMAN ameonesha kwa...
5 Reactions
54 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila Joto la kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), linazidi kupanda nchini baada ya wabunge na vyama vya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi people??????, Narudi tena kuwakumbusha tu, watanzania hususani vijana wenzangu nawapenda sana wote bila kujali itikadi zetu maana tunasahau uhuru wetu tuliupata bila vurugu na silaha wala...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Nimekuwa najiuliza sana swali hili; hivi Watanzania katika kura ya maoni wakipiga kura ya Hapana itamaanisha nini? Wanakataa kubadilisha katiba na wanataka ya zamani iendelee, au wanakataa Rasimu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
HOTUBA YA MHE. HAMAD RASHID KATIKA SHEREHE ZA MAKABIDHIANO YA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MJINI DODOMA AMBAYO...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Misimamo ni muhimu sana katika maisha ili kufanikiwa, sio vizuri kubadilika badilika kama kinyonga ni hatari.Msimamo wa UKAWA kupinga BMK kupitisha rasimu isiyo ya maoni ya wananchi kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MBUNGE wa Jimbo la Urambo Mashariki Samwel Sitta, amepokelewa kwa kishindo Jimboni kwake Urambo na kuhutubia katika Viwanja vya Mwananchi Square. Sitta akihutubia wapigakura wake alielezea jinsi...
4 Reactions
100 Replies
13K Views
Nakumbuka mchango wa Mhe. Mbowe akipendekeza kuwepo tume ya mishahara itakayosimama ulipwaji wa mishahara kwa wafanyakazi wa bunge, serikali na mahakama, wakiwemo viongozi (wabunge, majaji nk)...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati wa vikao vya jioni hii vinaanza, Mwenyekiti wa Bunge Maalum amelitaarifu Bunge kuwa Akidi kwa bara iko zaidi ya 2/3 ya wajumbe walio ndani ya Bunge Jioni hii, na kwa upande wa Zanzibar...
3 Reactions
57 Replies
9K Views
Itakuwa busara katiba pendekezwa ikawa katiba kamili bila wananchi kupiga kura! Hakuna asiyejua kama wananchi hawana maamuzi ya kupitisha au kutopitisha katiba pendekezwa ila ni kikundi kidogo cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama hii katiba itavuka huko mitaani basi ni katiba itakayodharauliwa dunia nzima na haitaheshiwa pia uhalali wake unaweza kuhojiwa mahakamani na kesi za kimataifa kwani uhalali wake ni wa kutia...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mmetudharau Watanzania, mmewadharau mliowatuma waje kwetu kuchukua maoni yetu, mmewadharau viongozi wetu wa dini. Hizo dharau na kiburi chenu vitawaponza. Tubuni dhambi zenu, waombeni radhi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Heshima kwenu wana Jamiiforums. Vyama vya siasa nchini Tanzania vilianzishwa kwa nia ya kukomaza demokrasia na kuleta mageuzi katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Bila ya kupoteza...
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Ndugu watanzania Je huko uliko umeona haya ? CCM sasa wanapita usiku nyumba kwa nyumba wnagawa kadi na kuandikisha vijana na kutumia Vikundi vya akina Mama wajasiliamali ili kupata kura ya ndiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mheshimiwa Sita alionywa asiikumbatie CCM na kujipendekeza kwa kumbatia makaburasha ya akina Chenge na wenzake na kuitia kwenye madroo Rasimu Ya Tume ya Jaji Sinde Warioba. Sitta kwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi karibuni kabla ya kupigia kura Rasimu ya "Chenge/Sitta" Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliwaahIdi Waislamu kuwa eti atapeleka Muswada Bungeni ili kuunda Mahakama ya Kadhi huku akijua kuwa...
3 Reactions
85 Replies
7K Views
Mpaka sasa kuna ushahidi wa kutosha wa kimazingira kuwa katiba inayopendekezwa imepitishwa kwa kukiuka kanuni na sheria za nchi ikiwemo "forgery"(rejea taarifa ya mh.Mbatia na Deus Kibamba).Hii...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom