KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Una boronga bila haya lakini bado una taka watu waamini wewe ni shujaa,shujaa ilihali katiba ni maridhiano Wakati tulipokuwa tuna toa maoni yetu si mngetangaza kuwa katiba hii ni ya mashindano...
1 Reactions
0 Replies
745 Views
Ilivyotoka tu rasimu Ya katiba inayopendekezwa na bunge maalumu la Katiba, Mimi nilipata bahati kuipata siku hiyohiyo nikasoma baadhi Ya mambo yanayoleta mvutano na rasimu ya waryoba ambayo ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukawa achaneni na maandamano pamoja na mikutano ni kupoteza pesa zinazohitajika kwa ajili ya chaguzi na maendeleo ya vyama vya siasa, kinachotakiwa ni kutumia taratibu za kisheria kupinga...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
wasanii wamesema katiba ya sasa imeleta mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu hapa nchini kwa kuweka vipengele ambavyo vimewathamini. "Kwetu ni jambo kubwa kuona serikali yetu imeanza...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Watu wengi sana wanatoa maoni juu ya katiba inayopendekezwa kwa mtazamo wa kusikia sikia tu naamini wengi sana wanacomment wasichokijua inaonekana katiba ya zamani hawajaisoma na hawaijui, rasimu...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Namna mambo ya siasa yanavyokwenda nchini yalikuwa sio bayana kwa watanzania walio wengi. Wako watanzania waliokuwa hawajui kama upo ujanja ujanja katika kuendesha siasa na demokrasia nchini...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwa aliyefuatilia mjadala HotMix EATV ataamini kuwa kuna uchakachuaji wa hali ya juu kuhusu idadi ya wajumbe. Takwimu zilizo kwenye katiba zinaonesha Zanzibar wajumbe 212 na Bara 416 jumla 628...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima wakuu. Tunapotafakari mambo yahusuyo Muungano wetu (Tanganyika na Zanzibar) kwanini kunazaliwa majina ambayo yanafuta uasili wa nchi zilizoungana? Mfano Tanganyika kuitwa Tanzania Bara...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mara baada ya Tume ya warioba kukabidhi rasimu, tovuti ya tume hiyo ilifutwa kwa madai ya kwamba tume imemamiliza kazi yake. Mbona tovuti ya bunge maalamu haifutwi ilihali bunge limemaliza kazi...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
TBC imetaarifu asubuhi hii kwamba maelfu ya wakazi wa Urambo wamejitokeza kumlaki na kumsimika Mh Samwel Sitta kwa ushupavu aliouonesha hadi kukamilika na hatimaye kupatikana kwa Katiba...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
http://www.bungemaalum.go.tz/files/pages/attachments/RASIMU_YA_KATGIBA_INAYOPENDEKEZWA_sw.pdf
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dr. Bana yuko live Channel 10 muda huu na katika mazungumzo yake na mtangazaji, anasema yeye ni muumini wa serikali moja na kwamba haamini mfumo uliopo wa serikali mbili utamaliza kero za...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Waliokuwa Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakifurahia baada ya kumaliza kazi ya kutunga Katiba mjini Dodoma hivi karibuni Dar es Salaam. Utata umezidi kugubika kura mbili zilizowezesha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kashilila Ambaye Ni Katibu Wa Bunge, Amekiri Pia Kuwa Mjumbe Hadji Ambar Khamis Makamu Mwenyekiti Wa NCCR Mageuzi Ameingizwa Kimakosa Wala Hakupiga Kura. Dar es Salaam. Siku moja baada ya Makamu...
3 Reactions
91 Replies
13K Views
East Africa Television (EATV) "Wananchi, katiba haikubaliki kwa Wazanzibar, mimi mwenzenu siikubali sijui nyinyi wenzangu, katiba hii haina maslahi kwa Wananchi wa Zanzibar na hatuitaki". Maneno...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika bunge la katiba mwenyekiti Samwel Sitta alidai kuwa ametukanwa na mh. John Mnyika mbunge wa Ubungo kwa kumwita muharamia na mchochezi akiwamo yeye Sitta na mh. Andrew Chenge,lakini Sitta...
5 Reactions
67 Replies
9K Views
Tukikumbuka mikutano yao kuwa katiba sio muarobaini ya matatizo ya wananchi, sasa katiba pendekezwa imo mikononi mwa Rais Kikwete na Shein na Rais Kikwete kaishaanja kuipigia kampeni ya NDIYO...
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Wana jamvi hasa mnaopenda mabadiliko msisononeke moyoni kwani mwenyenzi Mungu aruhusu suala hili litokee maana kama mtakumbuka wakati wa mabishano ya aina ya kura itakayotumika wazi au siri wao...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Hv mtatufanya watanzania kuwa wajinga mpaka lini? Nashangaa mnatudanganya wazi wazi kama mchezo wa kuigiza! katka swala la katiba yenu mnayoitengeneza tamkeni hadharani ni katiba ya CCM na si...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Kung'olewa kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman katika nafasi hiyo ni kama kumewasha moto visiwani humo huku mwenyewe akisema: ‘Ipo siku ukweli...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Back
Top Bottom