KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Tundu LissuMWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema mchakato wa kutengeneza katiba mpya ni wa kihistoria kwani jina la marehemu lilipiga kura. Akifafanua...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Akiulizwa swali na mtangazaji (jina simjui) wa EATV katika kipindi cha hotmix jioni hii Paul Makonda alionekana kubabaika na maswali yenye udadisi kuhusiana na suala la baraza la vijana...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Ukistaajabu ya Musa Utayaona ya Sitta Leo asubuhi wakati naangalia Star Tv nimestaajabu nilichokisikia kutoka kwa mwandishi mmoja ambaye ni mgeni wa Doto wa Star TV akisema kuwa ata Marehemu Bi...
8 Reactions
67 Replies
9K Views
Eti kwa kujua umuhimu ya kupata ufumbuzi wa malalamiko ya wananchi, ikulu ya dar na serikali iliamua kutatua malalamiko ya wananchi kwa kuanzisha mchakato wa katiba mpya, ili tupate katiba ambayo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Taarifa toka viunga vya Lumumba zinathibitisha kuwa Rais ameamuru kura ya maoni iwe Januari 2015. Vikao vya CCM vinavyoketi vinaendelea kupanga mikakati yakupitisha katiba yao ya CCM, mtoa...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Askofu Glorious Shoo wa TAG Kilimanjaro na baadhi yetu ( Vijana waumini wa kanisa lake) kuhusu mtazamo wake juu ya Katiba Mpya. Vijana: Baba Askofu nini maoni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hatuwezi kuwa sawa kifikra . Mimi binafsi pamoja na familia yangu tumedhamiria kupiga kura ya hapana kwa katiba iliyopendekezwa tukiwa na sababu maalumu. Sasa tumekubaliana kushawishi marafiki...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
Katika kuelekea kupata katiba mpya jf kama jukwaa la great thinkers tungetafakari kwa kina na kutoa ushauri sahihi kwa jamii bila ushabiki wa kisiasa. 1. Hivi karibuni Mh Maalim Seif amesema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaliyomkuta mwanasheria mkuu wa zanzibari kwa kutumia ujuzi wake na haki yake ni fundisho tosha ambalo tunatakiwa kulitumia kupunguza madaraka ya raisi na kuwekeza katika taasisi. tunawalaumu...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Ikitokea (ingawa kwa nchi hii haiwezi) katiba pendekezwa imekuwa voidable, na ikathibitishwa kuwa void na mamlaka ya kisheria kama Mahakama kwa kutumia scenario kama zinavyozidi kujitokeza, ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanachama wa vyama nchi hii ni wachache mno kuliko idadi ya wananchi wengi wa Tanzania. Ajabu vyama vinataka kuteka mchakato wa katiba.Vyama vilipewa nafasi kwa kupitia wabunge wao na wawakilishi...
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Zanzibar: Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema chama chake kitazunguka nchi nzima kupiga kampeni ili wananchi waikatae Katiba Inayopendekezwa. Alisema watafanya hivyo kwa kuwa...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Wana JF, nimetafakari sana baada ya kuona mjumbe mmojawapo lililokuwa BUNGE MAALUM LA KATIBA(mama Rwakatare) akitoa mafundisho yake kanisani kwake akisema, "UNAKUTA MTU ANA VYETI VIZURI LAKINI...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Huyu ndiye alikuwa kinara wa kumpelekea rais kila taarifa ya nini kinaendelea. Ni huyu PM pia ndiye aliyekuwa anashawishi wenzake wachakachue kura na mwisho kujipongeza kuwa wameshinda. Ni huyu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo kule Dodoma kulikuwa na sherehe ya makabidhiano ya katiba mpya inayopendekezwa ,ambapo aliekuwa spika wa bunge maalum la katiba mh. Samwel Sitta alikuwa anakabidhi kwa rais wa jamhuri ya...
5 Reactions
66 Replies
9K Views
Kwa mujibu wa katiba mpya iliyopendekezwa na CCM pale bungeni pamoja na mashabiki wao. Ujamaa hauna chake nchi hii. Katiba haitamki kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. kuuzika ujamaa ni...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Rais wa Zanzibar kila anapofanya mabadiliko huwa tunaambiwa anafanya hivo kwa mujibu wa katiba ya 1984. Hapa ndipo nachanganyikiwa maana nadhani aliapa kwa kuitumikia nchi kwa nafasi ya Urais kwa...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Wakuu, Huwezi kuamini lakini ndivyo ilivyotokea Mahakama Kuu ambapo Wakili Peter Kibatala alipoiambia Mahakama hiyo kwamba eti Rasimu ya Warioba ni Sheria. Watu tulikuwa tunajiuliza kwa nini UKAWA...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
“Posho za Bunge zaibua mapya” “Bunge la Katiba lasema hakuna chenji za Ukawa, Wizara ya Fedha yasema lasima zipo’ “Wizara yasema zitumike kulipa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini” Dodoma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya basi, tukafika kwenye uwanja wetu, tayari kwa uburuzaji. Na sikatai, kidogo tulitingishika mlipotoka, tukafikiri kwamba labda mna mikakati murua ya kuwaamsha watu, kumbe yaleyale tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom