KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wadau; habari ya weekend. Ninaendelea kuisoma katiba pendekezwa, ninapata ugumu katika mambo fulani. Katiba pendekezwa inasema kutakuwa na idadi sawa ya wabunge wanawake na wanaume Katiba inasema...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Kutokana na habari za kuaminika nilizozipata ni kuwa Sitta ameshindwa kuhudhuria ibada katika usharika wake tangu bunge la katiba la ccm limalizike. Hata hivyo, kutokana na chanzo changu cha...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Warioba kachakachua maoni ya Wazanzibari 67% waliotaka Muungano wa Mkataba wao wako kimya, sio kitu, lakini Bunge Maalum la Katiba kurekebisha Rasimu ya Warioba kwa 19% imekuwa tabu. Kwa mtindo...
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Dodoma. Siku chache baada ya Bunge la Maalumu la Katiba kumaliza muda wake, matumizi ya fedha zilizobaki kwenye Bunge hilo yameibua mvutano baada ya kuwapo taarifa kuwa fedha hizo ziliisha, huku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kisheria,katiba inayopendekezwa inatakiwa kupitishwa na 2/3 ya wajumbe wa kila upande wa muungano.Imeripotiwa kuwa katiba pendekezi imepitishwa kwa kura za ndio kuzidi za hapana.Maana yake ni kuwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kutokana na Maoni ya Waislamu Kudharauliwa na Kutupiliwa Mbali kwa Ghilba na Dharau kubwa, Sheikh Juma Poli amewataja Maadui wa Uislamu chini Tanzania Kua ni CCM, MAASKOFU na BAKWATA. Sheikh Juma...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakati wa upigaji kura ya maoni khs katiba pendekezi kuna uwezekano mkubwa kura ikapigwa wakati wanachuo wote wako mazingira ambayo watashindwa kupiga kura ili katiba hiyo isiangushwe.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Jakaya Kikwete amewashangaa watu wanaodai kuwa Katiba inayopendekezwa ni mbaya na kuhoji kama hiyo mbaya, nzuri ikoje. Amesema Katiba inayojali makundi yote ndani ya jamii kama ilivyo Katiba...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Wa Kanisa Katoriki Tanzania Ambae Pia Ni Mwenyekiti Wa Baraza La Maaskofu Tanzania Mhashamu Baba Askofu Mkuu Ngalalekumtwa Amawataka Watanzania Kuikataa Katiba Mpya...
15 Reactions
182 Replies
25K Views
Nawapongeza UKAWA kwa kutambua kua suala la katiba inayopendekezwa limepita na kilichobaki sasa ni kwa wanamchi kupiga kura ya maoni, lakini nataka nitoe tahadhari moja kama walishindwa kuizuia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ofisa ubalozi wa Tanzania nchin Saud Arabia, alieandika barua kwa niaba ya balozi wa Tanzania nchi humo,ameagizwa kureje nyumbani. Afisa Balozo huyo aliejulikana kwa jina moja la Masoud...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
kongamano niyo limeanza hapa yupo tundu lisu kongamano hili linarushwa live na radio 5 na radio arusha one fm mtapata vitu live karibun
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjumbe wa bunge maalum wa lililokuwa bunge maalum la katiba amekanusha kupiga kura ya siri ya ndiyo. Amesema haya mbele ya waandishi wa habari huku akilia kwa uchungu mzito. Habari kamili...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
siku hizi imezoeleka mtu ukiipinga katiba inayopendekezwa unaitwa we Ukawa ingawa kuwa Ukawa sio dhambi... To drive a point home ni kuwa aihitaji mtu uwe Ukawa ndio uipinge katiba...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wana jf. Nashangazwa sana na wito wa maandano kutoka kila kona ya nchi yetu kwa takariban wiki mbili zilizopita,kwa kile kinachodaiwa KUPINGA MABADILIKO YA RASIMU YA PILI KATIBA. Na...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Akihojiwa na BBC amesema hayo yanaitwa mazuri kwenye katiba huwezi kuyadai mahakamani na yanasimamiwa na mafisadi baada ya kuondolewa kipengere cha uwazi na uaminifu. Amesema Amos Wako mkenya...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Hatimaye katiba iliyopendekezwa na Bunge la Katiba ilikabidhiwa juzi kwa marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenzake wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na hivyo kuashiria mwisho wa...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Heshima kwenu wanabodi, Nimewiwa kushare hii news ya mafanikio ya soko letu la Hisa katika ngazi ya Africa.kimtazamo Uzi huu ungetakiwa kupelekwa kwenye jukwaa la biashara na uchumi.Lakini...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kuna kila sababu yakujiuliza ninani mkweli wa akidi ya wajumbe wa bunge la katiba je Mwenyekiti wa bunge ndugu Sitta au Rais wa Jamuhuri ya Muungano Kikwete Kutokana na idadi ya wajumbe Kikwete...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom