Sidhani kama aangekuwa mama yetu anashambuliwa na kutukanwa pale bungeni
na wahuni washenzi majambazi ungefurahi baba yangu sitta
Nilitamani niteme mate nikakuta natemea tv yangu sikuamini...
Nimejaribu kuipekuwa naona haki za msingi kabisa hazijaguswa.
1. Haki ya kugoma mfano kwa wafanyakazi kumgomea mwajiri na migomo mingine wanapokuwa wamesindwa kukubaliana lakini na namna ya...
Baada ya bunge maalum la katiba kumalizika tarehe 02 october 2014 sasa naona ndiyo mwisho wa ukawa kuwepo maana haina umuhimu tena wa kuwepo.
Umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) kama inavyojiita...
Tulishasema kitambo kuwa mabadiliko ya 2010 ya katiba ya Zanzibar,hayakuja bure, katiba hii imejifunga sana na kuwapa wazanzibari haki ya kuamua mambo magumu kupitia ule mtindo wa theluthi mbili...
Katiba katika Taifa lolote ni andiko linalotoa muongozo kisheria, wa mfumo wa haki na wajibu kwa watawala na watawaliwa katika kuishi na kujiletea maendeleo yao. Taifa linapoamua kutengeneza...
Kitendo cha kutangaza kamati ya kuwahoji wale waliopiga kura ya HAPANA pasipo kuunda kamati ya kuwahoji wale waliopiga kura ya NDIYO ni kudhihirisha ni kwa kiasi gani katiba imetengenezwa...
1.Shura ya Maimamu wa Misikiti yote Tanzania, Imetangaza Kura ya Hapana kwa Rasimu ya CCM, kutokana na Maoni ya Waislamu kuhusu Mahakama ya Kadhi kudharauliwa. Mtoa Mada amedokezea kua Mwendo ni...
Katika hali ya kawaida, katiba ya CCM iliyopitishwa kwa wizi wa wazi haiwezi kukubalika kwa wananchi. Mimi ninaamini hii katiba itakataliwa kote Tanganyika na Zanzibar. Pamoja na ukweli huu na...
The Methods of Nonviolent Protest and
Persuasion
Formal Statements
1. Public Speeches
2. Letters of opposition or support
3. Declarations by organizations and
institutions
4. Signed public...
Baada ya "Rasimu ya Sitta" kupitishwa na Bunge maalumu baadhi ya wabunge walilipuka kwa furaha na wengine wakakata mauno hadharani, huku mbunge wa Njombe kaskazini Deo Sanga akicheza "Kitorondo"...
Wataalam na wasomi wengine wasio wanasiasa tunaomba mwongozo wenu wa uchambuzi wa rasimu iliyopendekezwa na Bunge La Katiba.
Uchambuzi huo uonyeshe mambo mazuri na mabaya ya rasimu hiyo,maana...
Wadau, nilibahatika kuona kipindi cha ITV asubuhi ya leo jamaa mmoja akiuza rasimu ya katiba ya ccm kwa wananchi, ili waikubali na kuifanya iwe katiba ya Taifa.
Sikumsikiliza tangu mwanzo lakini...
Wadau,
Ni matumaini yetu sote kwamba wengi tayari tutakuwa tumekwishaisoma katiba inayopendekezwa (2014) kama tulivyoisoma katiba tunayoitumia kwa sasa (1977).
Kwa maoni yako, ni katiba ipi...
Nimeipitia katiba kipengere kwa kipengere.
Hakika imekaa vizuri sana. nimekuwa nikijiuliza wale wanaoipinga wanapinga kwa hoja zipi!!?
Ailimia kubwa mambo yaliyopendekezwa na tume ya Warioba yamo...
Mods msiunganishe uzi huu na uzi wowote ule.
Wakati akitoa taarifa mbalimbali leo asubuhi Mwenyekiti wa BMK amesema kuna wajumbe wawili wa CUF(ukawa) wamemuomba kupiga kura ili kufidia zile za...
Utangulizi:
Napenda kuweka wazi msimamo wangu kuwa sikubaliani na kile kilichofanyika Dodoma kuhusu mchakato wa katiba.But naumia kuona kuwa uhuni ule ndio umetuletea katiba ya majanga kiasi hicho...
Wadau kuna msemo wa kiingereza unaosema kuwa "If you can't defeat them, join them" yaani kwa kiswahili ni "kama uwezi kumshinda adui zako, ungana nao". Sitta ameamua kutimiza usemi huo. Ni dhahili...
Mjumbe wa bunge la katiba na mbunge wa Maswa (chadema) katika kutoa salamu za wajumbe baada ya kushinda kwa 2/3 ya kula za wabunge wote ameongea kwahisia kubwa na kwa uchungu na kusema ni bora...
Dodoma. Sasa ni wazi kwamba Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta ameingia katika mgogoro na viongozi wa dini.
Wakati jana Sitta akirejea kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kwamba waraka...
Mheshimiwa Samuel Sitta.
Kwako mheshimiwa Samuel Sitta.
Ni matumaini yangu kwamba sasa unajipongeza kwa kufanikisha kazi uliyopewa ya kuliongoza Bunge Maalum la Katiba ya kuhakikisha akidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.