KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wale vibaraka wa CCM walioshiriki kukubali kupinduliwa maoni ya Wananchi yaliokuwa ndani ya rasimu ya Tume ya Warioba na badala yake kuchomoa na kuchomekea maoni ya mabepari wa CCM ,washerehekee...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Nimepitia Katiba pendekezwa vizuri- Mambo mengi yaliyopendekezwa ni mazuri.Pamoja na uzuri wote,wajumbe wote wameshindwa kuona kosa la ki ufundi la kuingiza mahakama ya kadhi kwenye katiba:- Ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mahakama Kuu imebariki mwenendo wa Bunge la Katiba kuwa liliendeshwa kulingana na mamlaka yake kisheria. Pia Mahakama hiyo imesema kuwa Bunge hilo halikuwa likifungwa na Rasimu ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu, mwenye mamlaka kaniamuru nimwalike mh Sitta kanisani leo. Lakini mimi mtumishi wa Mungu nitampata wapi mh.huyu ili kumpa ujumbe wa Mungu? Nikijisogeza nyumbani kwake yanaweza...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
CCM KUSABABISHA WATZ TUNAOMBOLEZA KUPOTEZA FURSA YA KUPATA KATIBA BORA NI LAANA KWA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAGAMBA Katiba ni roho ya mfumo wa uongozi wa nchi. Ni ubongo wa kuongoza nchi. Ni msingi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rasimu mpindue wenyewe, mje kuomba huruma kwetu !! Uchakachuaji wa kura BMK mfanye nyingi, viongozi wa dini waje kubariki. Haya ni majanga. Viongozi wa dini kuweni na msimamo juu ya hili...
3 Reactions
164 Replies
17K Views
Leo katika Bunge Maalum la Katiba huyu bwana, Paul Makonda amedai kuwa anapiga kura ya 'ndio' kwa niaba ya vijana wote wenye akili timamu na kwa niaba ya wanachama wa Jamiiforums. Mimi ni kijana...
30 Reactions
154 Replies
15K Views
If truth be known, last week was horrendous for me for lots of reasons which I cannot express in totality but which I shall attempt to put on record so that if my grandchildren research this era...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Waswahili wanasema...... "Mkataa pema..... Pabaya panamuita" Kama inavyojulikana Tanganyika, Zanzibar, E.Arica, Africa na Duniani kote ya kuwa hajawai kutokea Kiongozi ndani ya Tanzania mwenye...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
SAFARI YA MAMLAKA KAMILI NDIO KWANZA INAIVA! TANGAZO! Haya haya wazanzibari! Kumekucha! La mgambo likilia kuna jambo! Chama cha wananchi CUF kinawatangazia wanachama, wapenzi na wazanzibari wote...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya "Rasimu ya Sitta" kupitishwa na Bunge maalumu baadhi ya wabunge walilipuka kwa furaha na wengine wakakata mauno hadharani, huku mbunge wa Njombe kaskazini Deo Sanga akicheza "Kitorondo"...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa JMT, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa heshima na taadhima ninakusihi na kukuomba usitishe zoezi la makabidhiano ya Katiba inayopendekezwa. Hii ni kutokana na hali ya Joto la Kisiasa linalo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ama kwa hakika Watawala waliojaa hofu ndo huogopa maoni ya RAIA wao. Wakati serikali ya Tanzania inaogopa maandamano hata kuyasikia tu, jirani zetu Kenya wenye akili wameyataja waziwazi kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanzania Tujitokeze Kupiga Kura Ya HAPANA Au Ndiyo Siku Ikifika Ili Kuikubali au Kuikataa Katiba Yetu hy. Nawaomba Shime Watanzania Tujitokezeni Sk Hy. Wazanzibar Nawaamini Watajitokeza Nao Kwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Leo wengi tujifunza mengi wakati Rais atakapokabidhiwa katiba iliyopendekezwa la kwanza ni Rais wa chama au wananchi?,pili mtazamo wa Rais ni wakizalendo?.Mungu awabariki wale wote wenye mapenzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati wa kura ya maoni wananchi turuhusiwe kupiga kura ya wazi ili kupitisha katiba mpya iliyopendekezwa na bunge maalumu. Vile vile turuhusiwe kupige kura popote pale tulipo na hata kwa njia ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
MAHAKAMA KUU YABARIKI MWENENDO WA BUNGE LA KATIBA "Dar es Salaam.Mahakama Kuu imebariki mwenendo wa Bunge la Katiba kuwa liliendeshwa kulingana na mamlaka yake kisheria. Pia Mahakama hiyo...
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Anaitwa Othman Masoud Othman, ni Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Hapo amekamatwa kwa kosa la Kupiga kura ya HAPANA ...... Maajabu ya TZ hayooo au ???
1 Reactions
28 Replies
11K Views
binafsi nasema tuliwatuma wahuni kujadili maoni ya wananchi sasa tunaishia kulalamika. kama sio wahuni sidhani kama wangepuuza hoja ya kutenganisha serikali na bunge. bunge linatakiwa kusimamia...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu gazeti la Mwananchi limebainisha kila kitu, hebu tujionee wenyewe HAPA
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Back
Top Bottom