KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Maada kuu katika Baraza la Iddi litakalo fanyika Leo Katika Msikiti wa Kichangani, Magomeni Mapipa zitakua zifuatazo. 1. Msimamo wa Waislamu Juu ya Rasimu ya Katiba iliodharau Maoni ya Waislamu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Kama mnavyokumbuka kuwa TSD ilikutana mwezi uliopita chini ya Mwenyekiti Mh.Cheyo na kuamua kuwa baada ya kupatikana kwa katiba inayopendekezwa, kura ya maoni ya kupitisha katiba...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kuna kila dalili sasa kwamba wahafidhina wamefikia ukomo wa kuivunja GNU. Na ile ndoto yao haiko mbali kutimia. Uchambuzi yakinifu unaonesha kwamba joto jipya la kudai mamlaka kamili ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nilishangazwa na jinsi ambavyo wajumbe wa BMK walishangilia baada ya matokeo kutangazwa na kuonekana kuwa rasimu ya Chenge imepita kwa kupigiwa kura nyingi za ndiyo. Naomba kama kuna mdau...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wataalamu wa mambo ya njama 'Consipiracy theoreticians' wanasema hakuna njama inayoweza kuwa siri kwa muda mrefu ikiwahusisha mtu zaidi ya mmoja. Ni njama moja tu ambayo hata wao wanashindwa...
14 Reactions
37 Replies
6K Views
Wana JF. Habari za asubuhi. Naangalia Tuongee Asubuhi ya Star TV, moja ya wageni ni Dr Bunsen Burner anasema kuwa takwimu za tume ya mabadiliko ya katiba zilikuwa si za kisayansi. Anasema takwimu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hotuba ya Mhe. Hamad Rashid Mohammed mara baada ya kutangazwa matokeo ya kura katika zoezi la kupitisha Katiba Mpya siku ya mwisho ya Bunge Maalum la Katiba mijini Dodoma. Kwanza shukrani kwa...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Nikiwa mdogo wakati niko shule ya Msingi nilikuwa najua kuwa mtu anayefundisha chuo Kikuu kwa maana ya Profesa au daktari wa Falsafa ni mkweli na muda wote ni mtetezi wa Falsafa za kweli. Leo...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Kura mbili za rasimu zimepatikana kutoka kwa Hamad Rashidi mbunge wa Wawi imefahamika mjini Dodoma leo. Katika hali ya kushangaza, Hamad Rashidi ndiye aliyepewa jukumu la kuwanunua wabunge...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Na Daniel Mjema, Mwananchi Kwa siku nne mfululizo kuanzia Septemba 29, Watanzania walishuhudia aina mpya ya upigaji kura kwa njia ya Fax na Intaneti katika Bunge Maalumu la Katiba kwa wajumbe...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Baada ya matokeo ya kupitishwa kila mtu amepigwa na bumbuwazi na kama vile dunia ilisimama kwa Tanzania hata wa upande wa CCM maana walijua kwa logic ya kawaida kwamba akidi haitoshi tukimnukuu...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Ukweli uliopo ni kuwa Sita amezidisha kura ili theluthi anayoitaka ipatikane kusema Hamadi Rashid amefanikiwa kupata kura mbili kutoka UKAWA ni uwongo mkubwa unaofanywa na viongozi hawa wakubwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
ZANZIBAR tuanaowaita urojo yaani watu legelege wamethubutu kupiga japo kura ya hapana tena hadharani na tumeona jinsi mwanashria mkuu wa zanzibar alivyoonyesha msimamo wake na kupiga kura ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimeishi na kutembelea pande zote za Tanzania na kugunduakuwa CCM kama chama tawala kimewakorofisha makundi yote ya jamii yaWatanzania.Kimewakorofisha wakulima wa korosho kule kusini,wakulima...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Katiba inayopendekezwa imeifunga miguu Zanzibar kuliko hata ile ya 1977. Kumfanya rais wa Zanzibar kuwa makamu wa pili wa rais ni sawa na kumfanya mjumbe wa balaza la mawziri. Hivi wazamzibar...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Naangalia kipindi cha kipima joto ITV, nashindwa kuwaelewa wanawasemea UKAWA! Wanalaumu wanasiasa wakati wao wanapiga siasa. Kipindi kama hicho kingechanganya watoa mada wanaoponda na wale...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Ndugu amani iwe nanyi nyote katika ukombozi wa mtu mweusi na kuleta furusa sawa kwa raia wote. Kesho ni kesho tena Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA watalitikisa jiji la mawe Mwanza katika medani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu. Tuliambiwa na Warioba kuwa wakati wanakusanya maoni ya wananchi juu ya Katiba Mpya, "Wananchi Walio Wengi," yaani watu 17,000, walipendekeza mfumo wa Serikali 3. Kwa kuwa Bunge Maalum la...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
HATUA ya Bunge Maalumu la Katiba kuhitimisha kazi yake kwa kupitisha Katiba inayopendekezwa, imemjengea taswira mbili tofauti Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta. Wakati wengine wakitafsiri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom