KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Sitaki kurudia yale yaliyotokea lakini nipende kusema kuwa kama Mwanasheria Mkuu ni mmojawapo wa wateule wa Rais, na hapa nazungumzia upande wa Zanzibar) hii ina maana kuwa kilichofanywa na...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Salim Said MJADALA wa katiba sasa umeingia sura mpya baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Jaji Omar Makungu kutaka iundwe katiba mpya inayokidhi matakwa ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Binti wa kaka yangu anatolewa ndani kwa taratibu za utamaduni wa kabila letu. Tutakuwa na sherehe hapo nyumbani kwa kaka kuanzia Ijumaa wiki ijayo. Tumepanga kuwa na ngoma ya kigodoro. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Halmashauri kadhaa nchini zimepewa amri ya kusafirisha wananchi, wakulima 20 toka vijijini kwenda Dodoma watakaosindikizwa na maafisa kadhaa ili kushangilia sherehe za makabidhiano ya katiba. Kila...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa taarifa zilizonifikia jioni hii kutakuwa na mkutano mkubwa hapa jijini Arusha hapo kesho tarehe 8 saa 8 mchana!!Mkutano huo mkubwa kabisa utahudhuriwa na Mh Lissu;Mdee;Machali;Sugu;Lema;&etl...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanaomchukia Sitta watasubiri sana! Kitendo cha kuendesha na hatimae kumaliza Bunge maalum la Katiba kimempandisha sana chati. Ameandika historia kubwa sana kumudu changamoto za kuongoza chombo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jamvi ningependa kupata uchambuzi wa kina na mlinganisho wa vifungu muhimu katiba katiba ya sasa. Rasimu ya waryoba na rasimu ya bmk. Nikiri tu mimi siyo mtaalamu wa masuala ya siasa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zanzibar kuna mtihani mkubwa sana ,msimamo wa wanaanchi unaeleweka kazi ipo kwa Raisi kusaini Katiba hiyo ya mapepari na unajua Raisi wa Zanzibar ana busara nyingi sana kuliko Kikwete kwa mara...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Ni kwa kutupa maoni ya "Wananchi Walio Wengi" yaani zaidi ya 66% ya Wazanzibari waliotaka mfumo Muungano wa Mkataba!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni muumini wa Tanganyika na siutaki kabisa huu muungano uwe hata wa serikali moja,mbili,tatu hata kumi siutaki kabisa uwepo na kama ni amri yangu ningeondoa hii mbegu chafu ya Wazanzibar...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekuwa na kelele kutoka ukawa kuwa serikali inatumia hela vibaya kwa kuendelea na mchakato wa katiba. Sasa rasimu ya katiba imepatikana kuna kelele nyingine juu ya gharama ya sherehe ya...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Wakuu, naomba ufafanuzi kuhusu kura ya aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, marehemu Shida Salum (R.I.P). Naomba nijue mambo haya: i. Je, nafasi yake ilizibwa kwa kuteuliwa mtu mwingine...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
mimi huwa sipendi siasa ila kuna mambo mengine yanakugusa mpaka machoni inabidi useme. mfano hawa waislamu wanadai haki zao za msingi ila wanapotoa matamshi ya vitisho na kususia CCM endapo kadhi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Sio vibaya kufanya sherehe za kupata Katiba mpya ,ila nielewavyo bado hiyo katiba ina njia refu ya kupita hadi ikubalike kisheria na kuwa Katiba ya Tanzania. Sherehe za aina yake ,jambo kubwa la...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
By Emanuel jumanne john. swali,kwa nini tunahitaji katiba mpya? Hoja ni kwamba tunahitaji katiba mpya kwa sababu,utaratibu uliotufikisha hapa hautatusogeza mbele tena.Nchi hii...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Tovuti ya BMK haina matokeo ya kura ya katiba inayopendekezwa, mwenye sababu atujuze. Nasikia waliweka wakatoa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi, Jana Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, amepiga kura ya hapana not expressly but impliedly kwa kutosema ndio au hapana, ila kwa kuorodhesha vifungu ambavyo...
6 Reactions
16 Replies
4K Views
KWA Chama cha Mapinduzi (CCM): Ni dhahiri kwamba kwa kila mtu anayetamani kujua mustakabali wa nchi yake atafahamu nia na makusudi ya CCM kulazimisha muundo wa katiba waliyoipendekeza...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Yanaandaliwa maandamano makubwa nchi nzima kupongeza BMK kupitisha Katiba iliyopendekezwa. Haya ni maandamano ambayo hayana vyama hivyo wananchi wote tushiriki. Tarehe ya maandano mtataarifiwa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Katika hali inayooneka kuna uwezekano mkubwa wa Katiba mpya mapema. Nibora uchaguzi wa serikali za mitaa uhairishwe kwa sasa na kuunganishwa na uchaguzi mkuu ujao, ili kupisha uboreshaji wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom