kama kinavyoonekana kwenye picha kutoka nguzo mpaka barabara gari lilipo,
kimepimwa na kipo hatua za mwisho kupata hati
kina eneo la ukubwa wa 744m
kipo eneo la Ulongoni Gongo la mboto
bei ni...
Tunasupply projector zenye ubora wa juu kwa jumla kutoka China! Bei zetu zina anzia dollar 100 mpaka 500, bei zetu zinategemea na aina ya projector pamoja na specifications unazotaka.Pia unaweza...
Wakuu!
Juz juz nilikata ya FastJet toka Dar kwenda Kili na Kurudi ya kusafiri siku ya kesho asubuhi tarehe 03.07.2014 ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimecancel safari hiyo na...
Sokoni Leo ni App iliyotengenezwa kwa ajili ya simu za Android, maalum kwa kutoa taarifa muhimu kuhusu mazao yanayopatikana sokoni. Utaweza kujua bei ya mazao mbalimbali yaliyopo sokoni rejareja...
Tunasupply projector zenye ubora wa juu kwa jumla kutoka China! Bei zetu zina anzia dollar 100 mpaka 500, bei zetu zinategemea na aina ya projector pamoja na specifications unazotaka.Pia unaweza...
Nyumba ipo maeneo ya sinza darajani kwa mwaibula,ina vyumba viwili,sitting room,jiko na choo ndani na stoo.
Bei ni maelewano.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu ya mwenyewe ama mmiliki 0758126342
Habari za majukumu wana jf,
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 25X25, kipo maeneo ya Mbezi Msumi. Kiwanja kina jengo la vyumba viwili na nipo katika mchakato wa kupata hati.
Bei maelewano, pm kwa...
Habar zenu wadau,
Natafuta chumba na sebule au vyumba viwili vya kupanga, iwe maeneo mazuri na kuwe na ustaarabu
msaada wenu wadau,waweza nipm ntakutafuta
Habari za jioni...jamani nina gari aina ya Toyota fun cargo iko in good condition nahitaji ku exchange na Niko ready Ku top up, budget my funcargo +2-3m
Ni galaxy tab 1 ya 7". Ina RAM ya 512, na processor ya 1 GHz.
battery life ni kama masaa masita mpaka tisa kulingana na utumiaji wa mtu.
inatumia sim card.
inakwenda kwa laki mbili na nusu...
Nahitaji chumba cha kupanga katika maeneo hayo,kiwe katika hali nzuri.UMEME + MAJI viwepo,kisiwe mbali sana na barabara kuu n' kikiwa self itakuwa nzuri zaidi !
NB: Nipm kama unacho
Wakuu nahitaji mobile fm transmitter, ni kifaa kidogo ambacho hutumika kubroadcast audio kutoka kwa simu kwenda kwa fm radio ya karibu,
Nimejaribu Ebay na Amazon but sina Postal Code so imekuwa...
Kwa anaehitaji mikanda ya video (VHS) iko zaidi ya 100, naiuza bei ni 2400 @ 1 pungufu unaongea, Napatikana Mbeya City, phone namba 0754242620. USIBEEP TAFADHARI.
Wadau nauza bajaji tvs king iko katika hali nzuri sana.....nauza 4 million shillings (million 4) ila bargaining ipo. napatikana dar es salaam 0713 806 766.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.