Habari wana JF, mimi nina mbuzi wakubwa mabeberu, ninauza bei ni kati ya 120-140, pungufu tunaongea, biashara maelewano na hatuwezi kushindwana.
Kama kuna mtu anaweza kuniunganisha na wateja ni...
Habari wanajanvi,naitaji namba za wale jamaa wanaonunua magari yaliyopata ajali ama kwa tatizo lolote na wao kuyachinja na kuuza kitu kimoja kimoja kutoka gari husika, tafadhali kama unafahamu pm...
Habari wakuuu simu aina ya HUAWEI ASCEND Y 210-0100 inauzwa
SIFA ZAKE
Android 2.3
WCDMA
1Ghz CPU
1700mAh battery
3.5 inch display with auto rotating screen
Accelerometer
Bluetooth 2.1 A2dp
Screen...
wakuu nauza simu aina ya BlackBerry curve 1 iko vzur hasa kimuonekano pia inapiga kazi vzur tu kama inavyoonekana pichani
chakufanya utabadilisha sensi sababu kunawakati huwa inasumbua! ila cyo...
simu inapiga kazi kama kawida.
Camera 5MP
internet speed 3.5G
ina uwezo wa kufungua file za PDF
( Facebook applications, Nimbuz, Viber na Whatsapp zipo na zinafanya kazi bila shida)...
Habari JF
Nauza vifarang wa kuku wa kienyeji wana siku kumi tangu wametotoleshwa. Kila kifanga ni shilingi 2000/= tu. Kumbuka kila wanapozidi kukaa na bei ndio inavyoongezeka. wahi sasa wamebaki...
Habari za mida hii ndugu zangu, nilikuwa ninashida ya kuuliza nitapata wapi wallet za kuhifadhi laptop kama zile zinazokuwepo ndani ya mabegi ya laptop?
Na je ni Bei Gani?, ahsanteni.
MAJAKI BATIK FASHION ni wataalamu wa kufundisha na kutengeneza batik aina zote (BATIK,TIE & DYE-vikoi)
Wanapatikana Dar es salaam, TAZARA maghorofani Block "F".
Kwa mawasiliano zaidi tupigie...
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
*Brand new samsung led hdtv series 4 32inch inauzwa kwa 750,000
Note: with 2years warranty na ina built in decoder.
*pia mimi ni dealer wa aina nyingine za electronics kama Sony, LG na Hisense...
Hello Guys......nauza simu aina ya HTC MYTOUCH 4G Mpya imetumika siku 1 tu..yaani nimeletewa Juzi mpya iko kwa box yake
Ina suport social media zote including...
kuku wa kizungu wa nyama wanapatikana tazara bei ni tsh 6000 bei inaweza kupungua kutegemea na uwingi wa kuku utakaohitaji kwa sasa tuna uwezo wa kuzalisha kuku 300 kwa wiki kwa kuwa ndio tumeanza...
Habari zenu wakuu. Naomba mtu anyeweza kunielekeza sehemu wanapouza trays za mayai kwa bei nafuu. Nahitaji zile za makaratasi zinazokaa mayai 30 pamoja na zile za plastic zinazokaa mayai 6 mpaka...
Je unapata shida ya kutumia trial version ya software za window 7/8....pata software uitakayo kwa gharama nafuu kabisa. Zikiwemo antivirus za aina zote...pm kwa maelezo zaid.
Namsteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Mzigo uliopo na Bei zake Jumla Jumla Tunaanzia PC 10.
Mosquito Gause wire (Wavu wa Mbu) 1 roll 4ft Urefu na 30m(Sio 25m ilivozoeleka) Upana kwa 43,000/=
String...
Habari zenu wana jf kwa wale waislaam nawatakia Ramadhan kareem
Laini ya M-pesa inauzwa bei poa(200000/= tu) price is negotiable .. kwa mawasiliano zaid pm au piga 0718776676 nipo dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.