Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kiwanja chenye ukubwa wa 1800 sq.meter na chenye msingi wa nyumba ya kisasa kinauzwa maeneo ya Goba.kwa aliyetayari tuwasiliane kwa PM tuweze kuongea kuhusu bei na kuweza kumtumia picha za eneo na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habar wadau, Ninatafuta nyumba ya kupanga kateshi mkoan manyara, vyumba viwil na sebule, kuwepo na huduma ya umeme na maji na security ya kutosha! Kama upo tayar kwa hlo naomba unipm...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kipo tegeta -madala unapita kidogo kiwanda cha cement ukubwa- upana miguu 30 na urefu miguu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wapendwa natafta chumba cha kupanga arusha maeneo ya mjini mjini... kinahitajika haraka sana
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Wana JF, Ninaomba kujulishwa bei na namna ya kupata Kontena tupu. Mimi nipo Morogoro
0 Reactions
4 Replies
10K Views
hi... simu tajwa apo juu Inauzwa kwa 90,000/= white In colour, no scratches. karibuni
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiwanja chenye Ukubwa wa Mita za Mraba 600 eneo la Njiro Arusha kinauzwa Bei 120m but negotiable. Aidha kiwanja chenye kubwa wa mita za mraba 1605 eneo la Lilungu Mtwara kinauzwa bei 80mbut...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Wakuu hizo gari tajwa hapo juu zinahitajika kwa hiyo bajeti
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau?wadau natafuta chumba cha kupanga tena nikipata chumba na sebule itakuwa nzuri zaidi kwa maeneo ya musoma mjini.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau salaam...Kama kuna mtu anaweza kunisupply mashudu ya pamba na alizeti,Pumba za mahindi na mpunga,Mifupa iliyosagwa,Damu iliyokausha na dagaa wazima pls tuwasiliane kwa maelewano zaidi.NI PM...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tunatafuta watu au ma agency wanaoweza kutuletea matangazo gazeti na website upande wa Agency kampuni itamlipa commision ya asilimia 25 kwa kila tangazo atalotuletea wafanyakazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wakuu? Nakijipango kangu nawekaga wanachuo kuishi, sasa m1 amenitoloka baada ya kumaliza chuo (exams) na kuacha vitu jumla kabisa. So nauza sofa kali ya wembe na kabati kali pia milango...
0 Reactions
34 Replies
16K Views
habari wakuu nina laptop yangu aina yaSiemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk160,cD room iko poa sana ila kuhusu betri linakaa na chaji dk 30 hadi na tano! Je,nikikupa hii machine ww utanipa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
HP ELITEBOOK 2570P Intel Core i5 2.6GHZ > HD GRAPHICS KWA WACHEZA GEMU 8GB RAM 500GB HDD WIRELESS AND BLUETOOTH VIPO BATTERY 3HRS AND 45MINUTES MAX PERFROMANCE INAFAA KWA MATUMIZI YOTE NA NI...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
yumba ipo kinyerezi dakika tano kutoka Mbuyuni ina sebule kubwa, na nafasi ya home office, dining room ya kutosha jiko,Store, Choo cha public, vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Master bed room...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
nyumba ipo kinyerezi dakika tano kutoka Mbuyuni ina sebule kubwa, na nafasi ya home office, dining room ya kutosha jiko,Store, Choo cha public, vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Master bed room...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Habari zenu wanajamvi? Naomba kuuliza: (1)Tani moja ya mahindi inatoa kilo ngapi za unga wa sembe? Yaani unga kilo ngapi na pumba kilo ngapi? Au kwa lugha nyingine kilo moja ya mahindi inatoa unga...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Dell latitude Processor : intel core i5 2.5ghz Hard Drive disk: 500gb Ram 4gb mpyaa Dell inspiron 5520,(body ya chuma) hdd 500gb, ram 4gb, core i5,spedy 2.5ghz, HD TrueVisionwebcam,grafix ya...
0 Reactions
4 Replies
971 Views
Nauza plot,iko surveyed na ina hati miliki,ni low density plot size yake sqrmeter 2480,IKO maeneo ya tabata! kwa anaehitaji ani inbox au mawasiliano number 0782261294 --bei 29m,maongezi yapo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja ukubwa wa ekari moja kinauzwa kipo karibu na hotel ya reca court na shule ya kimataifa ya atlas madale mivumoni kiwanja kinafika kwa gari kipo karibu na barabara ya mivumoni nearl to reca...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Back
Top Bottom