Mwalimu wa Kis/Geo mwenye taaluma ya stashahada au shahada anahitajika haraka iwezekanavyo.
Shule ni ya binafsi(sekondari) ipo mkoani Singida.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba...
eti jaman landmark hotel kunduchi washaanza kuwapigia simu watu au ndo unaenda tu kwenyee interview kama ulituma barua kwasababu ni 20 ndo interview. Tujuzane
samahan ndugu zangu naomba mnisaidie kujua nafasi za kujiunga na jeshi mwaka wa 2013 zinatoka lini au zimeshatoka,na utaratibu wao wa kutuma maombi uko vipi.
Kampuni ya Forever living baada ya kuona na kutambua ukosefu wa ajira na wimbi la umaskini imeamua kuingilia kati zoezi hilo kwa kushirikisha @ mtu ktk ajira
Kampuni hii inafanya Global network...
msaada wanajamii wiki hii naenda kwenye interview sasa naitaji mganga wa kunifanyia dawa kidogo si unajua lazima tuenzi mila nataka nivutie wale wajamaa wa interview nikitoka tu wawe wananiwaza...
Nikiwa maeneo ya soko la shayo nashangaa kuona lundo la vitanda vilivyo tengenezwa kwa miti kama vichanja,namuuliza muuzaji bei gani kitanda kimoja nchi 5 kwa 6 bei ni elfu 8000/=tsh! Du leka...
wadau nilikuwa napitia website ya access bank nimeona kuna post wametangaza nafasi za kazi jaribuni kucheck. AccessBank link hiyo hapo jaribuni.
Career Opportunities
As a young and...
Wana jf samahani.hawa watu wametoa tangazo la kazi ya customer service kupitia zoom.na maombi unatakiwa ku2ma kwa njia ya email.ila mm nimeshindwa kupata email yao.kwa alieliona tangazo ili...
Ni kitambo kidogo kimepita tangu idara ya uhamiaji kutoa tangazo la nafasi ya kazi ya ukoplo wa uhamiaji kupitia gazeti la mwananchi.nilituma maombi lakini bado sijafahamu kuwa majibu watatuma...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu cha Dar-es-salaam, nachukua bachelor of education in psychology.Dhumuni la kuandika uzi huu kwa wana jf ni...
wadau nina shahada ya ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU YA JAMII naombeni msaada wenu nimezunguka sana kutafuta kazi bila mafanikio plz nipeni mwelekeo maisha magumu
Chuo chaTiba (TIHEST), Reg No: REG/HAS/117P
Kina Tangazanafasi kwa mwaka wa masomo 2013/2014.
· Tabibu (ClinicalOfficer)
· Mtunza kumbukumbu za Afya (Health Record Technicians)...
Habari wana JF,
Ukiangalia idadi ya watu waliofanikiwa ni kubwa kuliko wale ambao hawajafanikiwa. Unafikiri sababu ni nini? Kuna mtaalamu mmoja alikuwa anaelezea neno POOR kama Pass Over...
Hi wana jf. Samahani naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye update ya post za SALES OFFICER TRAINEE TANZANIA STANDARD NEWS PAPER (TSN) zilizotoka mwezi february kama washaitwa kwenye interview...
Mimi ni msichana mwenye miaka 24, nimemaliza certificate ya records management pale chuo cha utumishi wa umma natafuta kazi ya Record Management popote pale nafanya.. natumaini mtanisaidia kwa...
niliona tangazo la kazi zoom@tz, nikatuma maombi, that was in july last year, nikaitwa interview mwezi huo huo tukaambiwa tusubiri majibu! nimesubiri kwa muda wote huo last week jamaa wameniita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.