Habari wadau wa jamiiforum!
Nimeitwa kwenye interview crdb bank kwa ajili ya ability testing naomba msaada kujuwa inakuwaje, interview ni kesho. thanks
Salamu watanzania. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo halmashauri ya mji wa Kahama. Shule ipo katikati ya mji.Nahitaji mwalimu kutoka Arusha, Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga, Mtwara au Iringa ili...
nimekua nikifanya kazi kampuni tofauti kama mbili lakini zote hizo nilikua nikipita bila interview sababu kuna wa2 walikua wananibeba si unajua tena nibebe nibebe nivukee salama.sasa kuna nafasi...
A good production engineer is looking for a job.ni mwanaume,mchapakazi,mzoefu,anaisha dar but anaweza fanyakaz mkoa wowote tanzania.if u need him just u can PM me 4 more details.thenk you!
Nja sahibhi ya kuomba kazi huku ukiwa na matumaini ya kuibuka kidedwea ni kuomba kazi zinaziitaji watu wengi kwa mfano teachers are needee au drivers are needed sio kuhangaika na kupoteza muda...
Waungwana,
Natafuta MSOMI, aliye ndani ya nchi - Tanzania - anayejua Kifaransa, KINAGA UBAGA. Kuna kazi ya kufanya translation, highly technical document, kutoka Kiingereza kwenda Kifaransa...
natafuta mwanafunzi yeyote aliemaliza form six, aliesoma hayo masomo hapo juu, EGM au PCM,awe anaishi kigamboni tafadhali na anayeweza kufundisha haya masomo vizur, ani PM au email kwenye...
Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo mji wa Kahama. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka Dodoma,Morogoro,Tanga,Moshi au Mtwara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano yangu ni: 0774 205159
DRIVER WITH A CAR IS URGENTLY NEEDED FROM MID-APRIL
THROUGH MID-JUNE
Introduction
We would like to express our interest in hiring a driver with a car for a research
project which will be...
Mi ni mwanafunzi wa st johns university. Nina uwezo mkubwa sana wa kutumia music softwares. Natafuta kazi niweze kutumia kipaji. Naweza tuma beats zangu ukasikia kabla hatujaonana kwa yoyote...
Habari wana jamvi mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa bongo
kwa yeyote mwenye kujua sehemu ambapo ninaweza pata part time job
naomba aniunganishe nina uzoefu na mambo ya sales and marketing.
.habari wanajamvi. napmba kuuliza kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia mawazo. Lake Tanganyika Basin Authority nafasi za kazi zinatangazwa wapi? ahsanteni
Jamani tra leo mchana wameni call kuitwa kazini ass tax officer,wengine wekeni simu zenu karibu maana hawa jamaa nimekuta missed call 7 walikuwa wananitafuta since morning!
msaada jamani kati ya njia hizi mbili ipi ni sahihi kwa kufikisha maombi yako kwa kampuni husika kati ya mtandao .posta na kwa kufikisha kwenye sehemu husika kwa mkono msaada plz kw awenye uzoefu
wadau nilikuwa napitia website ya access bank nimeona kuna post wametangaza nafasi za kazi jaribuni kucheck. AccessBank link hiyo hapo jaribuni.
Career Opportunities
As a young and fast-growing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.