Tunamhitaji Mtu mwenye Taaluma au ujuzi wa kubuni bidhaa mpya kutokana na mchanganyo wa vanilla na mali ghafi zifuatazo:
Majani ya chai (Tea leaves)
Majani pori (lemon glass)
Hibiscus...
hellow jamii forum members,its my first time to post on this site,nimeona new vacancies za UDSM ambazo zimepostiwa leo i guess,hivi ni za ukweli cz ni mwezi wa kwanza tu hapa walitangaza tena!just...
wadau hv ni shule gani nzuri ambayo wanafundisha form five pia wana programme za ku-resit form four. nataka nimpeleke dogo amepata 4 ya 27 na ana credit moja tu ( C)
samahan wadau anaejua kuhusu sales and marketing ya twb anijulishe, mostly on payment wanalipaje kwa mteja mmoja na kama kuna contract ya aina gan, na ushauri pia. asanten
Hay
Kwa yeyote anayetaka kufanyiwa editing, designing logos, Banners, Sticker ziwe za magari au zozote za co. magazine
na mabango mbalimbali asisitise kuwasiliana nami kwa kuniPM tutawasiliana...
Rejea mada tajwa juu. Mnamo mwezi wa 12/2012 nilikuja na mpango wa kuwaunganisha vijana wa Dar es salaam wasio na ajira,lengo la mchakato Huo ilikuwa ni kuunganisha pamoja nguvu za vajina hao kwa...
Habari zenu wakubwa!ndugu zangu wana JF kuna rafiki angu anauliza kwa yeyote yule aliye na taalifa juu ya nafasi za kazi zililzoombwa imefikia wapo na je washaweka shortlist..?
hello,
kwa wale wenye ufahamu kuhusu hii bank naomba mnisaidie, nataka kufahamu salary na mazingiza ya kazi ya hii bank. sijawahi fanya kazi na wahindi so itakuwa experience mpya. mwenye ufahamu...
Green Bird College has a mentioned
vacancy to be filled.
Qualifications
**Degree/diploma holder in Education or other
related specialization
** Experiences will be an added
advantages Mode...
Habari zenu wana jf .mimi ni msomi wa digree ya bussness administration tangu nimalize chuo mwaka 2008 sijabahatika kupata kazi.tafadhari naomba msaada wa kupata ajira,au mawazo hata...
:playball:
Wadau niko kwa kijiji hadi sasa sielewi kama nomino yangu ilitolewa ktk shortilist za uhamiaji,nimekosa access ya gazeti plz niangalizieni wadau ndimi EMMANUEL BUdodi...
Wakuu naomba kujua majukumu ya afisa biashara,vp ni kazi inalipa maana kuna jamaa ameniambia siku hz ni kama hawana kazi za kufanya maafisa biashara na maafisa ushirika walioko halmashauri niamben...
Wakuu kwa kweli nakuwa wa Kwanza Kupongeza Baadhi ya Mashirika ambayo kwao Vyeti si ishu bai uwezo binafisi, Nakumbuka nilisha wahi hudhuria usaili katika Mashirika Matatu tofauti ambayo yote ni...
I have discovered that most people are not happy at their work place, and the truth is that you cannot be 100% satisfied with your work and its environment. So, when I came across this article...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.