mimi nipo iramba singida, natafta walimu wa sekondari kutoka arusha, kilimanjaro na manyara ili tubadilishane vituo. Mawasiliano, email; elipokeamanase@gmail.com au elipokeamanase@yahoo.com. Phone...
Mwalimu Wa Grade A III. anaye taka kuja Arusha aliyepata Ajira mpya au wale wazamani aliyepangiwa Mkoa wa Kilimanjaro. Au Arusha wilaya ya Meru au Arusha V awasiliane ili Aje Arusha mimi Niende...
Are you or a friend looking for work? Have you heard of acquaintances laid off from long-term employment only to find four or five months later that they are still unable to find a job? If you...
Watu walioomba kazi e-governance wameanza kuitwa ,
cha kushangaza simu zinasema tuna kukumbusha kuja kwenye usaili tarehe 2.
wanadai majina yapo kwenye tovuti zao( hizi za ajira)
me sijayaona...
Jaman mwenye updates zozote kuhusu ajira za UDOM maana tulifanya interview toka mwezi Desemba. Mpaka leo naona kimya au watu walishaitwa? Msaada please anayefahamu maana ngoja ngoja yaumiza matumbo
Habari Node Limited, the leading ISP in Arusha seeks to employ a HUMAN RESOURCE MANAGER. Applicants must have at least 1 year on the job experience in Administration and Human resources from a...
Heshima mbele!
Wakuu baada ya matokeo ya kidato cha nne kuna dogo hapa amepata division four ya point 28. Sasa inawezekana kwa alama hizo akaenda chuo cha ualimu? Naomba waliosoma chuo grade A...
HABARI WAKUU
Jana niliomba kazi kupitia zoomtanzania kuhusu data entry zilitolewa nafasi sita, muda huu nimepokea sms ifuatayo ikiwa na maelezo ya kufanya baadhi ya mabo ili nipate kazi, sms ndo...
Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi ni nani hasa anayepaswa kusimamia uendeshwaji wa mashule na elimu hapa Tanzania?
Shule nyingi ni za kata ambazo ndio huhudumia wananchi walio wengi.Lakini kumekuwa...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINIWAKALA WA UKAGUZI WA MADINI TANZANIA
Simu: +255-22-2601819
Kitalu Na. 1129
Nukushi: +255-22-2601326
Barabara ya Chole, Masaki...
wengi wanapenda kujiunga na Jeshi ila hawajakaa chini kufikiri vizuri akili zao zinaongozwa na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira,kazi ya jeshi sio lelemamakwamba kila mtu anaweza kuifanya...
Habari zenu wadau!naomba kujuzwa,inawezekana kubadilisha wizara bila kuacha kazi eg ulikuwa teacher later on ukasomea kilimo.Is it possible ukashift from wizara ya elimu kwenda wizara ya kilimo?
Habari zenu jamani, ninaomba msaada wa kujua sehemu za kuvolunteer in IT dept.nimemaliza mwaka jana degree ya computer science. Nahitaji sehemu ya kuvolunteer ili kupata experience. Nashukuru sana...
-awe na umri kuanzia miaka 20 hadi 30
-awe na uzoefu wa kutosha kwa kazi zote za salon
-awe mtanashati,mcheshi,muaminifu na mwenye maadili mema
mshahara ni maelewano
salon ipo maeneo ya igoma...
Naomba mnisaidie, je kweli kuna watu wameitwa kufika makao makuu yao kesho jumamosi tarehe 16/02/2013 saa mbili asubuhi? Make bwana mdogo kaambiwa na mwenzake eti kapigiwa afike kesho saa mbili...
Mahakama ya Mwanzo ya kariakoo imemuhuku kifungo cha miezi tisa jela Bwana Yusuph Ayubu kwa kosa la kujiingizia hela kwa kulaghai kwamba atamtafutia kazi kazi mlalamikaji na matokea yake...
NATAFUTA MWALIMU WA BIOLOGY NA CHEMISTRY MWENYE DIPLOMA AU DEGREE. KWA MWASILIANO TUWASILIANE KWA NUMBER 0713 007977 AU EMAIL eliud732001@yahoo.com, anahitajika haraka sana.kama una sifa tuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.