Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari zenu watanzania Mimi ni kijana nilie na umri wa miaka 28 ni mtanzania mzaliwa wa zanzibar elimu yangu ni form 4 ninaujuzi wa kutumia computer na kuitengeneza kwa hardware and software pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana jf......nimebahatika kuitwa kwenye interview ya bank,naomba ushauri kwa wazoefu general qns ni zipi?note:cjawahi attend interview yoyote,taaluma yangu ni marketing.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekua na kmtindo cha vikampuni va biashara kutuma SMS kwa wanaotafuta kazi wakiwaita kwa madai ya kuwapatia pesa bila kujitambulisha. Nimekua muhanga kupokea SMS toka kwa watu nisiowajua na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Truebell Industries Ltd. P.O.BOX Dar es salaam Tunafuta Engineer ambaye ana experience juu ya setup ya viwanda (small industries). tuna project yetu tunataka kufungua kiwanda cha kutengeneza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
anatakiwa office administrator,mshahara sh 400,000 take home kwa mwezi.kama interested tuma email:m66_60m@yahoo.co.uk
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tafadhali mwenye kufahamu na hii +255 22 216 1198 ni taasisi gani coz nimepishana na call yake nikakuta missed call kuwapigia tena hawapokei.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa kweli hakuna lisilowezekana chini ya jua Ambacho nimegundua siku hizi ni kwamba matangazo mengi ya nafasi za ajira/tenda hapa nchini/huenda na kwingineko ni kiini macho tu kwani tayari...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wanahitajika wafanyakazi wafuatao; 1:Msichana wa kazi za ndani SIFA :Awe na nidhamu,tabia njema. Awe mwaminifu. 2:Dereva kwa ajili ya kuendesha gari la ofisi landcruser. SIFA...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
ajira ni haba sana mjini.nimekuwa na wazo kama tukijikusanya watu 100 na kutengeneza kitu kama ushirika/shirikisho/company kwa mchanganuo ufuatao.pamoja na ugumu wa ajira;tunaweza kupata...
11 Reactions
140 Replies
15K Views
Members juzi jumatano nimeomba nafasi ya kazi moja iliyotangazwa humu humu katika hii forum iliyokuwa inatutaka kutuma CV na passport size picture funny enough leo asubuhi mtu from the same...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wa ndugu zimepita wiki kadhaa tangu ngo ya feed the children inayopatikna maeneo ya msasani itoe tangaz la programs interns sasa wadau kama wameshatoa majibu au watu wameanz kazi 2julisheni ...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kazi za hotel, customer services, utalii na utamaduni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman mnachukuliaje mikataba ya ma agent wa ajira?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nina elimu ya ngazi ya diploma ya arts nihitaji sana kufanya kazi bandari ya dar kwa mwenye update yeyote kuhusu hilo wadau nawakilisha
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi sina hakika sana km hii imekuwa posted hapa. Ila km hujaiona na unatafuta kazi jaribu bahati yako, who knows you might be the person they are looking for. All the best. THE MUHIMBILI...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo asubuhi chanel ten naibu katibu wa tume ya ajira anatoa maelezo juu ya ajira za kujaza nafasi zitatolewa muda si murefu ujao wana JF wenye sifa changamkieni hizi nafasi. Nawasilisha.Chanzo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu wakubwa kwa wadogo salam,mimi nina advanced diploma ya computer science toka chuo cha uhasibu arusha,nimemaliza mwaka juzi lakini mpaka leo sijafanikiwa kupata ajira,naomba yeyote...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimeanzisha mada hii baada kuona thread moja ikilamu mtu kukataa kaz akiwa hana kazi. Si kweli wala sahihi kwamba kama mtu hana kaz basi ajishushe dhamani yake na kufanya kaz ambao anaona fika...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
CAREER OPPORTUNITIES Achelis (Tanganyika) Limited of Dar es Salaam; a part of the Achelis group of companies requires the Services of a Sales Manager for the Energy Department and a Sales...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA Bottom of Form Kujiunga JWTZ Uandikishaji Askari Mtu yeyote ataandikishwa kujiunga na Jeshi la Ulinzi la...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom