Naomba mnisaidie kwa hili maana naweza kupata kazi kwa urahisi kidogo, nimetafuta kazi takribani miaka miwili sasa na bado sijafanikiwa nataka nikasome masters naombeni mniambie vyuo vinavyotoa...
haya wanajamvi nimekuja tena kwa wale ndugu zetu wote waliokua wameomba kazi zilizokua zimetangazwa na TANROADS-KILIMANJARO majina yametoka muende kwenye interview.
majina yametoka kwenye gazeti...
Urgent Career Opportunities World Vision Tanzania:
Livelihood Manager-2 Positions
Livelihood Facilitator-4 Positions
Procurement Analyst
Stores Assistant
For Details and how to apply visit...
Habari zenu wana jf, ninaomba msaada kwa aliye na nafasi ya kazi, mimi ni kijana wa kiume(21) elimu yangu ni kidato cha nne pia nina ujuzi wa computer applications nimesoma (ICDL) international...
1. Are you looking for an eye-catching Cv and job cover letters?
2. Are you tired of beingupset with job interviews?
3. Have you beenlooking for jobs without being called for an Interview...
Habari zenu watanzania
Mimi ni kijana nilie na umri wa miaka 28 ni mtanzania mzaliwa wa zanzibar elimu yangu ni form 4 ninaujuzi wa kutumia computer na kuitengeneza kwa hardware and software pia...
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 ni mkazi wa Arusha natafuta kazi ya Secretary, Reptionist au Customer care nina Certificate ya Computer Applications na nimesoma mpaka kidato cha sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.