Check attachment.
1
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
VACANCIES
The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fill...
Hizi ni baadhi ya kazi nilizo zifanya zipo nyingi nyingi sana mudamwingi nikiwa nimetulia nyumbani huwa nina design vitu mbalimbali ila kati ya hizo apo juu niliyo ifanya kikazi na kuuza ni GSM...
Ndugu zangu nina miradi hii miwili nakusudia kuianza hivi karibuni. Katika mradi wa kwanza unahitaji mtu mwenye uzoefu wa kufuma masweta ya aina mbalimbali kwa KUTUMIA MASHINE pamoja na...
mm nina mtaji ila sina eneo but wanalipa sana vijana wa CCM mje jamani soli za viatu zitaisha njooni tuungane kama unasehemu mie nipo majumbasita njia ya airport
Naomba mnisamehe kwa thread zangu za mara kwa mara huku jamani, natanguliza samahani,....
naomba niwapongeze wale vijana wote ambao wanaendelea kujikomboa kifikra na kujitambua hasa katika masuala...
zingatia;
ni haraka sana,kama upo mtwara na una certificate ya account ni-pm namba zako kuna kazi ipo manispaa ya mtwara mjini,
anahitajika karani wa mahesabu katika asasi moja isiyo ya...
Wanandugu,
Kampuni yetu ni Mid sized company ambayao inafanya shughuli zake Geita na Kahama.
Tunahitaji mhasibu mwenye sifa zifuatazo:
1. Degree in Accounting
2. Not less than three...
Heshima mbele wakuu,
mimi ni mwl miaka 8 kazin,nna shahada ya elimu baada ya kujiendeleza toka certificate grade A,nna jamaangu kaahidi kunisaidia kupata nafasi ya kazi benki,
nnaomba msada wa...
KAc secondary school iliopo Arusha inatangaza nafasi za Walimu katika Michepuo ya Sayansi,Arts na BiasharaSifa za mwombaji Asiwe form six leaver. Maombi yatumwe kwa kutumia E-mail ya shule...
wakubwa shikamoon
Nna mdogo wangu amemaliza chuo cha Veta Morogoro mwaka jana alikuwa anachukua certificate ya electric{umeme} nilikuwa naomba kama kuna m2 ana nafasi amsaidie mdogo wng ili awe...
Mimi nina umri wa miaka 30, nina leseni class C FLAT ninauwezo wa kuendesha kila aina ya gari. Pia nina PSV CERTIFICATE ya VETA. Kwa mwenye nafasi tujulishane
SEKRETARIETI YA AJIRA
hii ni kwa Uchunguzi mdogo tu wa waliofanya usaili tare 8 dec
Mwaka 2009 wakati secretarieti ya ajira inaanzishwa nilikua miongoni mwa watu waliofurahia jambo hili ambalo ni...
Awe na uwezo mkubwa wa kufanya kazi zifuatazo
(a)Microsoft office 2007
( )
2.Awe na uwezo wa ku designing :-
(a) Wedding cards,send off cards,business cards,flyers
(b)...
Ndugu zangu maisha yamekuwa magumu nataman hata kama ntapata kaz ya daladala me nafanya jamani . Humu jf kuna watu wana biashara ee jaman 2kumbukane bac hata kam salary 50000 . Niko dar jaman...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.