Wakuu nimeapata kazi ya kufundisha St Francis Ifakara mshahara wao si mbaya sana na wanatoa 15% house allowance.
wanaofahamu mazingira ya kzi hapo vp zaidi ya salary kuna any other benefits. na...
walimu wa sayansi, biashara na sanaa wanahitajika haraka tayari kwa kuanza kazi morogoro. Tuma cv yako haraka. mtamanyali@gmail.com
NB. kwa wale wanaotaka kwenda serikalini wasijisumbue kwani...
Jamani naomba kwa kila alipata nafasi ya kazi apokee pongezi zake nyingi sana. Kwa wale ambao hawakufanikiwa msikate tamaa kwani maisha ni foleni kila siku inasogea polepole, hatimaye na nyie...
Kama umechoka kutafuta ajira bila mafanikio au umechoka na ajira unayoifanya kwa sasa kwa sababu ya kuamka kila siku asubuhi na kukumbana na adha ya foleni kila kukicha suluhisho hili hapa...
Am studying at the institute of finance management ( IFM) second year taking the bachelor of accounting.., am looking for the evening shift job.., anyone with the idea where i can get one plz.
Wana-JF naombeni msaada wenu,
Nahitaji Dada wa Ndani kwa shughuli za kawaida za nyumbani kama usafi (nyumba, vyombo, nguo, uwanja), kupika, n.k Atafanya kazi katika familia ya watu wanne na...
Heshima kwenu wana jamii!
Tarehe 15 nilihudhuria intervew pale duce katika post ya WILDLIFE OFFICER.
Nilishangaa sana kumuona dada mmoja ambaye nilimuacha chuo mwaka jana pale SUA.
Huyu dada...
FAME Medical
PO Box 351
Karatu, Tanzania
+255 732 978 729
Employment Opportunity
FAME Medical is Health Center located in Karatu, Tanzania. Operating under the Foundation for African Medicine &...
Mwezi december kuna watu ilikuwa wafanye training tar.3 ikaahirishwa na waliambiwa wataitwa.Lakin hawakuitwa hadi sasa na walikuwa makundi mawili mwanza na dar ila wale wa mwanza nasikia wanaanza...
Wadau!
Tunatafuta wadau wawili au watatu wa uhakika wenye uwezo wa ku supply kwa pamoja jumla ya tani 500 kwa mwezi za PET flakes (makopo matupu yanayotumika kutunza maji ya kunywa, soda, n.k)...
Nina cheti cha hotel management na nina uzoefu na kazi ila sasa nimehamia Dar natafuta kazi katika hotel au mgahawani. Kazi ya reception au waitres pia.
"Hili tatizo la kupata ajira limekuwa sugu kwako
vyeti unavyo na sifa za kupata kazi unazo lakini roho ya kukataliwa inakusumbua...
Njoo ufanyiwe maombi..."
***************
hivi ndivyo...
Habari wadau tarehe 10 mwezi huu nitakua kwenye usaili wa kuongea kwani wa kuandika nimeshafaulu kampuni ni Mambo publisher na nafasi nilioomba ni ya uandishi wa vitabu. naomba mnitajie maswali...
Wana jf wenzangu,ukipita ktk airport za dubai na doha utakuta wakenya wengi wakifanya kazi hapo mpaka za kufagia,ila hukuti mtanzania,hivi sasa nchi ya qatar wanajiandaa na kombe la dunia football...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.