Mimi ni kijana wa kiume, naishi dar es salaam Nina miaka 24 ninaomba mtu yeyote mwenye kazi anisaidie tafadhali Nina elimu ya diploma(environmental health science)
Natafuta mfanyakazi wa kuuza na kuhudumia katika Grocery/bar.
𝐌𝐚𝐣𝐮𝐤𝐮𝐦𝐮.
• Atauza vinywaji na kutoa huduma Kwa wateja.
• Kufanya hesabu na kutunza kumbukumbu.
• Kuorodhesa vinywaji vilivyokwisha...
Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie
Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira.
Niliitwa katika...
Leo asubuhi nilipigiwa na ndugu yangu yuko mkoa fulani akiniomba niende pale ofisi za psrs nikamsaidie kutatua changamoto flani inayomkabili kwenye account yake.
Nimefika sikukuta foleni kubwa...
Natafuta mfanyakazi wa kuuza na kuhudumia katika Grocery/bar.
𝐌𝐚𝐣𝐮𝐤𝐮𝐦𝐮.
• Atauza vinywaji na kutoa huduma Kwa wateja.
• Kufanya hesabu na kutunza kumbukumbu.
• Kuorodhesa vinywaji na Kufanya...
Ndugu zangu nimeona niwasanue mapema usipopata mchongo ama ajira awamu hii ya mama Samia imekula kwako kama kijana ambaye kitaa kilinichakaza vya kutosha nakushauri fanya yafuatayo
1. Suka Cv...
Natafuta mfanyakazi wa kuuza na kuhudumia katika Grocery/bar.
𝐌𝐚𝐣𝐮𝐤𝐮𝐦𝐮.
• Atauza vinywaji na kutoa huduma Kwa wateja.
• Kufanya hesabu na kutunza kumbukumbu.
• Kuorodhesa vinywaji na Kufanya...
Salaam wakuu hivi nyie mliwezaje ku afford gharama za kwenda interview mkoa ambao upo mbali nao, mbona mimi nikiambiwa interview iko mbali nakata tamaa kabisa!
Naombeni mbinu tafadhali
Anyone interested in the field of rehabilitation, there is a possibility of joining the Diploma in Occupational Therapy training at KCMC for this academic year 2015l2016. Interested candidates...
Education of the fourth form and continuing in other fields including the field of mechanical spare parts manufacturing, automotive engineering, domestic and industrial electricity, IT, automotive...
Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya...
Habarini ndugu zangu nilikuwanaomba ushauri kuna dogo langu anafundisha chuo kikuu cha Dar es Salaam kama Tutorial Assistant na kaitwa kufanya interview TRA kama Tutorial assistant.
Yuko anauliza...
Habari,
Husika kichwa cha habari hapo juu.
Mm ni Fresh Graduate natafuta nafasi ya intership kada ya Account ili niweze kugain experience. Nilifanya field TRA na NSSF na pia nina cheti cha VETA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.