Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
hivi kunakiwanda ambacho akina kazi ngumu raisi ? kama kipo kitaje na malipo yao yakoje watu wanatafuta
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi wakuu nawezaje kupata utingo wa malori sijasomea ufundi ilaa napenda kufanya kazi iyoo kama una connection waku na pia kama kuna changa moto zake mniambie mapema
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari, Nahitaji graphics design mwenye outstanding skills. Requirements 1. Lazima awe na uzoefu na skills na software mbali mbali za design. 2. Lazima aweze kutafuta masoko / marketing na...
1 Reactions
8 Replies
878 Views
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒🤒
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za jumapili wapendwa,naombeni msaada nimeitwa kwa interview Kama mhasibu jaffery ind,sain LTD inahusika na furniture manufacturing and sales kwa mwenye experience na hizi kampuni au any...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Mimi ni kijana wa miaka 23 napatikana Dar maendo ya Mbezi Mwisho, Napenda kuulizia kwa hapa Dar ni wapi naweza pata vibarua vya ujenzi Kama saidia kwenye mradi unaoendela kwa sasa au Kama Kuna...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu Week iliyopita nilianza kuapply kazi sehemu tofauti tofauti Kwa kua hapa kazini nilipo hali si nzuri Kwa bahati nikafanyiwa interview Kwa njia ya simu na mwajiri aliyepo...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
kituo cha afya mkarama kinatafuta security kwa ajili ya kuweka usalama eneo la hospital...sifa awe ni kidato cha nne na awe amepitia mafunzo ya jeshi la kujenga taifa, kwa mawasiliano zaidi nicheki pm
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Wakuu, Kozi kwa upande wa diploma ina ajira kwa sasa na kwa baadae au ndio kusoma na kuingia vitani kusaka ajira.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama kuna mtu amewahi kufanya interview ya trade officer 2 naomba kujua notice gani za kusoma ili nianze kujiandaa maana nimepoteza muda mwingi kujianda na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Bandugu na Mandugu! Nahitaji msichana wa ndani, nipo zanzibar, amsaidie mama yangu kufanya kazi za ndani, sana sana kupika na kufua. Maelezo zaidi tuongee Aliye tayari anitafute Wasap only...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Hello Naitwa Nyesigamkama Ni fundi ujenzi wa nyumba Fani ya Bricklaying and Concrete practice. Najenga kuanzia nyumba ya kawaida mpaka Ghorofa. Niko Murongo Kyerwa Kagera nafanya kazi mikoa yote...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
Wakuu nimeitwa kwenye usaili wa Examination officer(written) hapo Dodoma (2/10/2023). Naomba kujuzwa maswali yanayoweza kuulizwa kwenye hiyo paper kutoka kwa wazoefu mliowahi kufanya hizo interview.
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wanajamii forums. Kwa wakazi wa daresalam mabibo na maeneo ya jirani, Mwenye kufahamu au connection jinsi ya kupata kazi za viwandan iwe kibarua au ajira ya kudumu. Ni viwanda vipi vinatoa...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Natafuta kazi viwandani kama Mwenye kujua viwanda vipi vina toa ajira saivi au Mwenye connection viwandani
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari, ninatoa Mafunzo bure kabisa Kuhusu uandishi wa Barua pamoja na CV. Hii ni kwa sababu wengi wetu tuna changamoto katika swala zima la uandishi hivyo, nimekusogezea Katika Group langu namna...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Sound setting,animations za kila kit video production ,kutengeneza website na program mbalmbali
2 Reactions
40 Replies
8K Views
Habari ndugu wanajamiii forum, mimi ni mtumishi wa taasisi fulani ya serikali, nilipata nafasi ya kuhamia katika taasisi fulani hapa nchini na barua yangu ilipitishwa na mwajiri wangu, Ila Sasa...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadau, nilipost habar ya kureshwa kazini kipindi cha nyuma. Kwa Sasa nimepata maelezo ya kunisisitizia nionapo tangazo niombe, Sasa nashindwa kuelewa sijui nimefanyiwa kiini macho au laa; kwa...
0 Reactions
7 Replies
652 Views
Habari zenu wakuu, Hope ni wazima otherwise Allah awafanyie wepesi. Lengo la uzi huu ni kuomba kazi, kibarua au shughuli yoyote halali itayoniingizia kipato. Nina umri wa miaka 27, nina elimu...
3 Reactions
11 Replies
953 Views
Back
Top Bottom