Sales and Marketing Officer (Female) - Digital Marketing Specialist for Travel and Tour Web Solutions
Company: TIMELESS INTERNATIONAL
Location: ARUSHA
Type: Full-Time
Overview:
We specialize...
Natafuta shule ya kufundisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu (ulemavu wa kusikia), mimi ni muhitimu wa Shahada ya awali ya elimu katika elimu maalumu (Bachelor of education in special education)...
Natafuta kazi,
Mimi nikijana wa miaka 25... Nlikua nafanya kazi kwa wachina kama dereva mwanza kwa mda wa miez tisa.Na kwa sasa maboss zangu wamerudi china.Natafuta kazi ya udereva wa...
Anahitajika msichana wakuuza Duka la vipodozi.
Vigezo:
Awe na uzoefu wa kuuza duka la vipodozi
Elimu atleast form 4, awe anajua hesabu vizuri.
Kituo cha kazi kipo Tandika Dar es Salaam.
Ambae...
Habari wanajamvi,
Nilikua naomba kuuliza je cut off point ambayo utumishi na tasisi zingine wanaconsider wa kifanya shortlisting ili waite watu kwenye interview ni GPA ya ngapi (ukiachana na kazi...
Tanroads
The Regional Manager’s Office TANROADS – KIGOMA on behalf of the Chief Executive TANROADS, intends to recruit and competent Tanzanians to fill the following vacant posts on specific duty...
Habari za Asubuhi wanajamii forum,
Uzi uu ni maalum kwa kupeana maelekezo,miongozo,Maswali yote yanayopendwa kuulizwa na TRA katika INTERVIEWS zao,yeyote anejua ni maswali gani wanapenda kuuliza...
Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023
Kazi : Clearing Agent
Idara: Operational
Vigezo Cheti / Diploma ya...
Kampuni ya JOEX Worldwide inawatangazia watanzania wote wenye vigezo na sifa kutuma maombi yao kuanzia leo hadi Oct 20,2023
Kazi : Clearing Agent
Idara: Operational
Vigezo Cheti / Diploma ya...
Habari wana jamvi! Leo nimewiwa kueleza machache kuhusu fursa za kufanya kazi nje ya nchi,mtazamo wangu binafsi na baadhi ya vijana waliopo hapa Tanzania na hata wale walio nje ya nchi wakifanya...
Nimekuwa naomba ajira sana humu sikufanikiwa nimerudi tena na iman nitapata
Wanajamii forum , nina uhitaji wa kazi yeyote halali, hali imekuwa ngumu
, tunandoto kubwa hatuna pakuanzia
Uzoefu
1...
Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam.
Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.