Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Jamani Naomba Msaada Ndugu Zangu Nna Leseni Cras D Naitja Kazi Ya Uderevar Nipo Mkoani Morogoro Wilayani Mvomero Namba Yangu 0674443530/0622909927
2 Reactions
7 Replies
322 Views
Habari, Naomba muongozo katika Hili swala. Baada ya kusajili local company, nikajisajili Nest, na Sasa nimekua napata invitation za tenda mbalimbali kulingana na leseni yangu. Nimeapply tenda...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Kijiji kipo juu milimani , miundombinu mibovu hasa barabara hamna maji ya bomba , ni kwenda mtoni , network ni YAS tu, Shughuli za kilimo cha chai ndo kipo huku ila kiwanda kimefungwa . Serikali...
4 Reactions
14 Replies
607 Views
Habarini wana jamvi. Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado...
2 Reactions
11 Replies
326 Views
Jaman matokeo ya usaili wa somo la geografia yametoka. Idadi ya waliochaguliwa ni ndogo sana. Jumla ya watainiwa ilikuwa 20,979 Ambao hamechaguliwa (selected) ni 948 Na ambao hawajachaguliwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
2 Reactions
4 Replies
270 Views
Teknolojia sio rafiki wa Mwanadamu kwenye ajira
3 Reactions
6 Replies
237 Views
Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya kuanzisha mchakato wa kuhama kituo Cha kazi na changamoto zake kwenye mchakato. Ahsante
0 Reactions
1 Replies
190 Views
Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree Tunashida na ajira lakini mifumo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habarini wapendwa! Kuna msichana wa miaka 25, Yupo Dar es Salaam, anatafuta kazi za Supermarket, Bakery Shop, Stationaries, Duka la Nguo/Duka la Vipodozi, Duka la Uwakala wa Miamala, Duka la...
1 Reactions
8 Replies
433 Views
Habari wakuu kwa mtu mwenye ofisi ya uwakala na anatafuta dada mzoefu kwenye kazi ya uwakala anaweza kunichek...ikiwa Dar itapendeza zaidi
3 Reactions
8 Replies
365 Views
Kazi zenye mishahara mikubwa huwa hazitangazwi, Kwa utafiti wangu binafsi, nimekuja kugundua kazi nyingi zinazotangazwa kwenye mitandao mbalimbali, magazeti n.k, nyingi huwa ni zile zenye...
18 Reactions
72 Replies
12K Views
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 22 natafuta ajira yoyote ya kujikimu kwa muda huu pia nina ufanisi wa biashara ya mauzo pia nina leseni ya udereva ila kwa sasa natafuta ajira yoyote ile ili nijikimu...
6 Reactions
10 Replies
315 Views
KUMEKUCHA, Walimu waliofanya usaili wa mahojiano pekee waitwa kazini tayari
2 Reactions
3 Replies
663 Views
Hivi Ajira Portal wanatumia mbinu gani kusahisha hii mitihani ya walimu yani siku moja wamemaliza na walimu wengi hivI?
1 Reactions
14 Replies
923 Views
Natafuta kazi ya udereva Dar es Salaam, dereva mzoefu, mtanashati mwenye vyeti vyote vya udereva
2 Reactions
8 Replies
384 Views
Je wewe ni kijana wa kitanzania mwenye elimu kuanzia kidato ch kwanza mpaka chuo kikuu? Unaishi Kilimanjaro, Manyara Mbeya, Iringa au mbeya na Dsm pamoja na Morogoro? Una uzoefu wa kufanya kazi...
9 Reactions
43 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali...
22 Reactions
308 Replies
11K Views
Habari zenu! Kuna rafiki yangu, mmoja hana kazi, bado anatafuta, lakini anajitapa hawezi chukua kazi chini ya m1.5 especially ikiwa ya mkoa. Je ni kweli?? Serekalini unalipwa mishahara kama hii...
0 Reactions
44 Replies
16K Views
Back
Top Bottom