Wana jukwaa naombeni kuuliza inawezekana mtu kuajiriwa na taasisi za serikali mbili tofauti?
Mfano nimefanya usahili IFM na UDSM halafu majina ya IFM yakatoka mapema kabla ya UDSM hayajatoka...
Habari wana Jamii,
Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta...
Habari za humu jf, nina tafuta kijana (akiwa wa kike itakuwa vizuri) kwaajili ya kuuza na kutembeza juisi za matunda maeneo mbalimbali.
Umri: Chini ya miaka 24
Location Dar es Salaam (Kigamboni)...
Nimekua nikifuatilia malalamiko ya wadau wengi kuanzia jinsi mfumo ama sijui ni software of which I doubt possibly ni burungu la watumishi wenye vichwa vizito ama bora liende huyu weka pale huyu...
Habarini,
Nimeomba ajira PSRS hivi karibuni, tangazo halikuwa na kipengele Cha any selected or short listed member will be informed for interview.
Swali je atakaechaguliwa ataajiriwa moja kwa...
Hawa jamaa walitangaza nafasi ya business Specialist kwenye kiwanda Chao kilichopo mkuranga. Nilifanikiwa kuitwa interview Leo ila ikatumwa sms kuwa zoezi limehairishwa mpaka watakapo toa taarifa...
Habarini kama kichwa kinavyojieleza tunahitaji mtu mmoja wa kufanya site reprentative tipper office Kigamboni DSM dated 28/07/2023 time 10:30 am
Uwe na vitu hivi personal prptective equipment...
Natafuta mfanyakazi wa Stationery Ambaye anaweza Fanya kazi Singida vijijini
Mshahara Mshahara 120,000/-
Kodi nakulipia miezi 6 matumizi ya mwezi wa kwanza nakupatia godoro na Jiko la kupikia...
Wakuu mwema.
Kuna miradi mingi inaendelea hapa mjini Dar es salaam. Kuna mwendokasi maeneo mbalimbali wanatengeza.
Kuna barabara za mitaa zinajengwa maeneo mbalimbali, lakini yote hii huwa naona...
Habari za leo wakuu.
Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi.
Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker.
Pia nina...
Mara kadhaa shirika la kuhudumia Wakimbizi UNHCR wamekuwa wakitangaza nafasi za kazi hususan kwenye field office za Kibondo, Kasulu na HQ.
Wana website yao ambayo una create account kisha...
Kwa matatizo yote ya data usisite kunitafuta. 0654629098
Elimu: degree in official statistics
Ni mtaalamu haswa kwa maswala yote ya data. Tunafanya data ziwe rahisi katika kufanya tathmini ya...
Habari ndugu zangu naomba msaada wa mawazo.
Hivi karibuni nimepata kazi mkoa fulani kazi yenyewe ni kua nadeal na wagen tourist.
Tatizo langu ni kua kuanzia nireport kazini wafanyakazi wenzangu...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amepokea kibali cha kutekeleza Ikama
na Bajeti kwa Ajira mpya katika mwaka wa Fedha 2022/2023 yenye Kumb. Na. FA.97/228/01’TEMP’/06 ya tarehe 06...
Habari wadau.
Tumefungua Ofisi mpya studio tunatafuta kazi za video production, kuandaa matangazo, video shooting, Event Management kwa mwenye dili hilo anicheki tuangalie tunafanyaje.
NB...
Habari Wanajf nawasalimu kwa jina la jamhuri wa muungano wa Tanzania?.Bila kupoteza muda nimekuja kwenu ndugu zangu najua humu jf nitapata ushaurii utakaonisaidia maake naamini jf ni kisima Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.