Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
UPSCALE SHOP MIKOCHENI iliyopo DAR ES SALAAM inawatangazia nafasi ya kazi UHIFADHI WA KUMBUKUMBU ZA BIDHAA (DATA ENTRY RECORDS). SIFA YA MWOMBAJI * Awe amehitimu elimu ngazi ya DIPLOMA/DEGREE...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
TANGAZO LA KAZI: Position: Insemination Officer QUALIFICATION: *Certificate/Diploma in Animal welfare and/or Laboratory technology or related activity *Recent Graduates are highly recommended *...
1 Reactions
2 Replies
561 Views
UPSCALE SHOP MIKOCHENI iliyopo DAR ES SALAAM inawatangazia nafasi ya kazi UHIFADHI WA KUMBUKUMBU ZA BIDHAA (DATA ENTRY RECORDS). SIFA YA MWOMBAJI * Awe amehitimu elimu ngazi ya DIPLOMA/DEGREE. *...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada Naomba kufahamu usaili wa magereza kwa wenye fani mbalimbali Unakuwaje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Description To work as a cashier Minimum Education O-Level QUALIFICATION: Minimum NBAA DIPLOMA IN ACCOUNTS Send your CV and application letter to: teseandtecho@gmail.com Deadline; 10 JULY 2023
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Waliofanikiwa kufika kwenye interview ya TFRA wanijuze mimi nmechelewa kupata taarifa interview ilikuwa ni saa 4 kamili leo tarehe 24/06/23 venue ni Tanzania Institute of Accountancy(TIA) mkoa wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani aliyefanya interview ya oral ya utumishi wa mahakama vipi majibu tayari?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani siku hizi nafasi nyingi zikitolewa au serikali wakihitaji waajiriwa Mara nyingi diploma ndo imekuwa kipaumbele,. Hiyo imekaaje ndugu zangu
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu,nimeitwa kwenye usahili Jeshi la Magereza, kwa anaejua format ya maswali Yao anisaidie tafadhali .
4 Reactions
2K Replies
202K Views
Habari naomba kuuliza kwa wale waliofaulu interview za oral wakaitwa kazini Je, walijibu maswali yote? Maana nilifanya interview yangu ya kwanza maswali mengine point zilkuwa zinagoma kuja kabisa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi karibuni, kumetokea na wimbi kubwa la taasisi, mashirika na makampuni mbalimbali kutoa nafasi za kujitolea kufanya kazi. Kimsingi huo ni unyonyaji tu maana wao unawazalishia alafu wanakupa...
15 Reactions
116 Replies
10K Views
Wataalamu na wenye uelewa kidogo wa hili suala. Hili ongezeko huwa linakuwaje 1. Ni asilimia ngapi!?? 2. FlatRate kwa watumishi wote!?? 3. Kulingana na madaraja ya watumishi!?? 4. Au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sifa Ujue kutumia computer vizuri Ujue kupiga window na kugundua tatizo computer inapo misbehave Ujue kusolve matatizo yatakayojitokeza endapo computer italeta mushkeli Uwe na wadhamini...
4 Reactions
1 Replies
961 Views
Husika na kichwa Cha habari hapo Juu, anahitajika Mdada mwenye Uzoefu na Kazi za Microfinance. Sifa awe na Elimu Diploma ya Finance, Business Administration or Marketing. Awe na uwezo wa kufanya...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye miaka 25 nipo Shinyanga, level yangu ya elimu ni shahada ya awali ya elimu katika masomo ya geographia na historiaa. Natafuta kazi yoyote ili niweze jipatia...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi everyone, Naitwa Hamza ni Operator wa excavator nilikuwa natafuta kazi nina uzoefu usio pungua miaka mi4 sasa kwa yoyote anae fahamu wanapohitajika ma Operator naomba msaada wako kunijulisha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna nafasi ya udereva hotel ya Lahe Mwanza, mwombaji awe na sifa zifuatazo Umri miaka 21-30 Awe na cheti cha Veta cha kuhitimu mafunzo ya udereva Vyeti vya kundesha gari Uwezo wa kuendesha...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
4 Reactions
69 Replies
43K Views
Wakuu, naomba kujua kiwango cha mshahara wa phd znz kama lecturer. Kuna mdogo wangu mmoja anakwenda kuhamia znz na anakwenda kusomesha chuo kule, wasiwasi wake ni hapo kwenye mshahara.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom