Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari wakuu, Mwenye connection kazi za ulinzi ndugu yangu anatafuta. Hali tete. Cc: Sandali Ali
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Hivi karibuni Tamisemi walitoa taarifa kuhusiana na ajira za ualimu na afya ya namna ya kuangalia maombi kama yalikubaliwa na waliweka ya kupiga *152*00# ili kutambua hali ilivyokuwa, kwa upande...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri. Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili. Hata kama mnataka...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Habari wana jamvi, Ni muda sasa umepita tangu baadhi yetu tuliofanikiwa kufanya interview ya oral pale Dodoma kwa kada tofauti tafauti katika shirika la reli TRC, naomba kujua kwa wenye uzoefu...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari za wapendwa. Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
interview transcript concerning challenges facing construction workers in implementing health and safety practices in bus rapid transmit system road works. APPENDIX II INTERVIEW GUIDE. ASSESSMENT...
0 Reactions
1 Replies
495 Views
Hello, Kuna mdogo wangu wa kiume yupo Kigoma anatafuta kazi yoyote iwe ya kuuza duka, kusimamia lodge au bar, kusimamia mashamba ama miradi, stationary n.k Ana elimu ya kidato cha 4 ila pia...
0 Reactions
1 Replies
456 Views
WanaJF natafuta kazi nipo Kahama, Naomba kwa yeyote atayekuwa interested anipe connection naweza kufanya kazi popote. Nina taaluma ya Computer Science Certificate, General Agriculture Diploma...
2 Reactions
2 Replies
702 Views
Habari za jioni wadau, shukrani za dhati kwanza kwa Muumba wa mbingu na ardhi kwa kunijalia ajira kupitia ajira mpya 2023 kada ya elimu (msingi), nimepangiwa shule ya Nyakaliro Wilaya ya Buchosa...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa majina naitwa Hussein Mohamedi Bendera kijana wa Kitanzania umri wa miaka 27. Nachukua nafasi hiii kuwajulisha ndugu zangu kuwa natafuta kazi yoyote ile ya halali inayotumia nguvu ama ya...
2 Reactions
11 Replies
983 Views
Jamani taarifa hiz ni za kwel
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Upatikani wa kazi kwa njia ya kutuma CV ONLINE imekuwa ngumu Sana kupata kazi Nataka kuanza kwenda kuomba kazi physical changamoto yake inabidi ujitoe ufahamu kwenda sehemu wajasema wanataka...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko. Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu natumai mu wazima, bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2020, nilishindwa kwenda chuo kutokana mwaka tajwa hapo nilikuwa na...
1 Reactions
0 Replies
727 Views
Nikiwa pale udbs bana,ndipo Wakati lile jengo la pssf Tower lilikua linajengwa.kuna kipindi nilifulia nikawa sina hata mia mbovu..home nako nimeacha wife ana mimba. Nikawa napiga vibarua vya...
26 Reactions
185 Replies
16K Views
NDUGU naitwa Athumani ngoma ni mkazi wa morogoro mjini nina uhitaji wa BAJAJ MPYA ya mkataba nina uwezo wa kurejesha elfu 20 kila siku kwa kwa miezi 24. Yeyote mwenye uwezo naomba msaada wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau samahani naomba kujua kwa wale waliofanya interview ya MDA & LGA 14 may 2023 kama tayari wameshaitwa kazini au kama wapo basi naomba mawasilia🙏
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Poleni na majukumu, Hongereni Kwa kuipigania bandari, Pongezi Kwa watafuta ajira wote Kwa kutokukata tamaa. Moja Kwa Moja kwenye mada. Mimi ni msaka ajira ambae nilipanga kupambania nafasi ya...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
SproutGigs SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari!!! Natumaini tuko poa sote,na kwa wale wapitao katika magumu Basi Mungu aweke rehma zake mambo yaweze kuwa mepesi. Tuje kwenye mada,ndugu zangu Mimi ni baba wa familia ya watoto...
2 Reactions
3 Replies
432 Views
Back
Top Bottom