Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wakuu kwema? Naomba kueleweshwa, ukiombwa Phone Extension wakati wa kufanya maombi ya kazi unatakiwa kujaza nini hapo? Na hiyo Phone Extension mtu ambaye hana anaweza kuipata wapi?
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Wakuu nimeitwa katika interview kitengo cha sales lakini sifahamu matumizi ya EFd machine katika kutimiza majukumu yafuatayo 1.ku print risiti 2. Ku print daily z report 3. Kutengeneza report...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa anae hitaji engineer wa majengo aina yoyote contact me pleas. 0768060255
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo Mabwana na Mabibi husika na kichwa Cha Habari tunatoa pikipiki za mkataba kwa ma dreva Boda boda wanao hitaji pikipiki. Tunapatikana kariakoo Dar es salaam Mawasiliano: 0659160000
5 Reactions
3 Replies
748 Views
Habari ya majukumu wana JamiiForums, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali. Binafsi Nimesoma...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Wadau habari zenu! Mimi natafuta ajira au kazi nipate kujikimu. Nina degree ya Public administration lakini pia ni fundi welding kuchomea mageti, milango madirisha n.k , yeyote mwenye connection...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
I used to be a Uber driver in the City of Dar es salaam for a year and half, currently I don’t have a car, I am looking for someone who can hire me as his/her driver for a contract or normal way...
2 Reactions
17 Replies
847 Views
Habari wakuu natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya kufanyia uber/bolt 0656539177
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu, Mimi ni muhitimu wa kozi ya Bachelor of Science in Nursing (Nursing Officer). Nilikuwa naomba kama kuna mwajiri au mtu yoyote mwenye connection ya kazi inayoendana na kozi...
1 Reactions
5 Replies
759 Views
[Tunakamilisha Mradi]... Ufungaji wa pump, uwekaji wa tenki na kufunga mifumo ya maji kutoka kisimani kupeleka katika nyumba kwa ajili ya matumizi √ Pump Brand: Doyin Submersible Pump √ Power...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za asubuhi. Kwa wale ndugu zangu wasaka kazi na wenye ujuzi mkeka ni huu hapa.Mtakaopata kazi Tanga muwe makini maana ndiko Mapenzi yalipozaliwa.Be carefully!
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Position : Driver – 3 Posts Reports to : Head of Division Contract type : Permanent and Pensionable Job Purpose: To carry out a range of motor vehicle driving duties and ensure passengers reach...
0 Reactions
8 Replies
925 Views
Assalam Alaykum / Habari za asubuhi mabibi na mabwana.
2 Reactions
0 Replies
639 Views
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya...
18 Reactions
67 Replies
12K Views
Habari ndugu, Mimi ni mtumishi wa umma. Nimefukuzwa kazi na mwajiri wangu. Sikuafiki maamuzi kwakuwa nimeonewa nimekataa rufaa Tume. Najitokeza kwemu kuomba kazi ili niweze kuendesha Familia na...
8 Reactions
66 Replies
4K Views
Interested parties are hereby invited to tender for the “Production and Supply of school uniforms at The School of St Jude, Sisia Campus, Moshono, Arusha”. Bidders are invited to submit their...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote...
1 Reactions
0 Replies
601 Views
Hello jf, Najua huku kuna wataalamu na maHR wenye uzoefu na hizi mambo. Kuna mdogo wangu hapa anatafuta kazi haitwi hata interview,sisi wengine hatuelewi haya mambo tuliishia la7 B tukaingia...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Sekretarieti ya Ajira inatoa siku chache kuita watu kwenye usaili mfano kada ya sheria majina yametoka jana tu leo watu waende kwenye usaili hii imekaaje mtu anayeishi kigoma kwel ataweza...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanajamvi kwema? tusichoshane. mwajiri kanipa likizo ya lazima kwa wiki mbili je malipo yanalipwa kawaida?
1 Reactions
0 Replies
713 Views
Back
Top Bottom