Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wakuu habari zenu, naombeni maelekezo pale kwenye kipengele cha academic qualification nimeweka course mbili, moja nilikosea naomba msaada wa kuondoa course moja ase maana hamna sehem ya kudelete...
1 Reactions
0 Replies
827 Views
  • Poll Poll
Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI. Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa...
2 Reactions
114 Replies
5K Views
Kwema wakuu? Natatua vipi tatizo la kwenye Recruitment portal ya serikali, Unaaply kazi flani na degree yako ikiwemo kwenye orodha ya Academic qualifications walizotaja lakini ukiapply inakataa...
1 Reactions
8 Replies
478 Views
Ndugu Nina Hali mbaya Sana. Naomba kibarua chochote sio kazi ya kuajiriwa ukiwa na kazi Kama hizi nafanya 1)Udobi (kazi ya kufua au kupiga pasi) 2)Kufyeka nyasi 3)Kunituma/Kuniagiza kitu DSM 4)NK...
2 Reactions
4 Replies
412 Views
Nimesikitika sana baada ya kusikia kwamba pamoja na ajira zote za umma, ukiacha waalimu, kusimamiwa na tume ya ajira, eti kuna taasisi za umma ambazo usaili ukifanywa na tume ya ajira, bado nazo...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini za mda huu! Waungwana Kuna mwenye taarifa yoyote juu ya ile interview ya Mzinga tujuzane. Maana ni mwezi sasa au huwa wanachukua mda gani kutoa majibu ya oral? Kama Kuna mwenye...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini. Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari, Mwenye connection ya kazi yoyote naomba anisaidie iwe ni kufundisha au nje ya taaluma yangu, nina uzoefu wa kufundisha na Loan Officer. Napatikana Kibaha
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu za leo, Katika utumishi kuna utaratibu wa kuacha kazi kwa kumpa mwajiri taarifa ya siku 28 au mwezi mmoja. Swali langu je katika huo mwezi wa notice mwajiri anakulipa mshahara au unafanya...
0 Reactions
35 Replies
12K Views
Kwema wakuu? Natatua vipi tatizo la kwenye Recruitment portal ya serikali, Unaaply kazi flani na degree yako ikiwemo kwenye orodha ya Academic qualifications walizotaja lakini ukiapply inakataa...
0 Reactions
2 Replies
426 Views
Salam sana. Rejea kichwa tajwa juu. Nimekuwa mhariri wa kituo cha redio hapa kanda ya kasikazini kikubwa tu kwa mda mrefu sana ila nimechoka kukaa ndani natamani kutoka nje mwenye msaada...
2 Reactions
0 Replies
481 Views
Habari Kama ww ni developer front - end or back - end na uko competent but una kaz ni check 0678650509 . Lakini pia kama una uzoefu wa marketing na una kaz nicheki pia . Nina few idea nataka...
2 Reactions
0 Replies
345 Views
Habari za muda huu wana JF, Nipo Arusha, Natafuta kazi yoyote halali, Mwenye connection anisaidie tafadhali. Elimu: form 4 Mawasiliano: 0788614446 Natanguliza shukran. Asanteni sana
1 Reactions
0 Replies
971 Views
Majukumu yako Kuuza bidhaa dukani Usafi wa ofisi wakati wote Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa Mshahara 200,000 kwa mwezi Ofisi itatoa Mlo wa mchana Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa...
1 Reactions
3 Replies
766 Views
Natafuta kazi ya ualimu Elimu:stashahada(degree) masomo:mathematics and geography mawasiliano :0684785432 location:dar es salam
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile. Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza...
51 Reactions
100 Replies
9K Views
Wanajamii ninaitwa Samweli Mayala. Mimi ni mpishi wa uzoefu wa miaka 18, natafuta kazi kwa yoyote atakayesikia anijulishe. Namba zangu ni 0657642225. Niko Dar es Salaam.
2 Reactions
9 Replies
809 Views
Habarini nahitaji mtu mmoja aliye karibu na ofisi za Halmashauri ya Sikonge tabora mwaminifu nahitaji anisaidie kuchukua nyaraka pale ofisi ya halmashauri nitagharamia na kumuwezesha tafadhari...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Walimu wa masomo ya Basic Mathematics, Biology, Geography na Kiswahili wanahitajika. Walimu changamkieni fursa katika shule bora
0 Reactions
3 Replies
860 Views
Hii nakala nime copy kutoka moja ya mitandao ya kijamii. MWANDISHI: Iddy Makengo, 11 Sep 2017. NINI CHA KUFANYA PALE TU UNAPOINGIA KATIKA SOKO LA AJIRA! Miaka kama nane hivi iliyopita nilikua...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom