Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari za majukumu wanajukwaa. Nimeona kama vile waajiriwa wengi wapya kwenye taasisi mbali mbali kwa sasa ni UDOM graduate's ukilinganisha na vyuo vingine. Mfano kuna taasisi moja mwezi uliopita...
1 Reactions
74 Replies
5K Views
Lini siku hela zetu za lodge na nauli za kwenda dodoma kwenye usaili wa utumishi zitarudi ... Tunatumia Hela nyingi Sana Sana. Tunaishia Kwenye msitari wa NOT SELECTED FOR ORAL INTERVIEW.
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi natumaini wote ni wazima. Bila kupoteza muda Niende kwenye mada kuu...Ni wazi kabisa kwamba Mimi nasumbuliwa na changamoto ya usikivu (tinnitus) "hali ya kusikia sauti...
24 Reactions
80 Replies
4K Views
Sikuweka sahihi ya mkono kwenye barua yangu ya maombi ya kazi naweza kukosa nafasi ya kuitwa kwenye usaili?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Dare es salama jiji lenye joto kali na foleni ndefu nyakati za mchana karibu kwenye barabara zote. Sasa unapokutwa changamoto hii wala usiwe na shaka unachokiwa kufanya ni kuchukua simu yako na...
3 Reactions
5 Replies
624 Views
Habari kuna ambae amefanikiwa kufanya interview ya DTB graduate management trainee mwaka huu?
0 Reactions
0 Replies
659 Views
BESIX Ballast Nedam (BBN) Limited, the CONTRACTOR for the Engineering, Procurement and Construction of the Jetty and Load Out Facilities in the Tanga Bay for the East African Crude Oil Pipeline...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
BESIX BALLAST NEDAM (BBN) LIMITED JOB ADVERTISMENT – Site Nurse BESIX Ballast Nedam (BBN) Limited, the CONTRACTOR for the Engineering, procurement and Construction of the Jetty and Load Out...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES BACKGROUND The Eastern Arc Mountains Conservation Endowment Fund (EAMCEF) is a Trust Fund that was established as a mechanism to provide sustainable financing for...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Ndugu zangu wana jamvi, habari za muda huu? Mimi nina jambo langu hapa kuhusu serikali kuwapa ajira vijana wa JKT, kila mwaka serikali huchukua maelfu ya vijana ambao huenda kujitolea huko Jkt...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wana jamvi! Naomba kuuliza market availability ya assistant lecturers wa History ukoje? Je endapo mtu ana GPA ya 3.8 undergraduate na 4.5 masters anaweza kupata nafasi mapema kutokana na...
1 Reactions
2 Replies
645 Views
Hatimaye kwa mara ya kwanza nimelipwa mshahara tangu nimeanza kazi kwa huyu Mhindi. Lakini kulipana mishahara kwenyewe mpka mshikane mashati yaani mpka muanze kupelekeshana wee ndo mshahara...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Natafta kazi ya utabibu napatikana Dodoma. Hata shirika lolote la afya am available
1 Reactions
0 Replies
353 Views
Habari za saa hizi Wanajamii Forums, Kwa mtu anayejua, Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani wanalipwa mshahara kiasi gani, na wakistaafu wanalipwa shilingi ngapi?
2 Reactions
14 Replies
9K Views
Habari wakuu. Naimani wote mko salama na majukumu yanakwenda. Ninatafuta Kazi ya muda mfupi/mrefu ya kufanya data analysis and visualization na creating of dashboard kwakutumia Excel. Kama...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
SEM BUSINESS COMPANY:Ni kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania chini ya mamlaka ya usajili wa makampuni nchini Tanzania BRELA(Business Registrations and Lincensing Agency) chini ya kipengele cha...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Moshi Kilimanjaro Kijana wa miaka 28 Anatafuta kazi Moshi-Kilimanjaro Kamaliza Internship ya Medical Doctor Yuko tayari kufanya kazi yoyote halali ndani ya Moshi Sex: Me Age: 28 Location: Moshi...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Habari wadau, Naomba kupata elimu kuhusu hili suala langu hapa. Nilipitisha barua yangu kwa mkuu wangu (DG) kwa lengo la kuomba nafasi taasisi X. Je, wakati wa kuomba kibali nalazimika kupitisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kama kuna mtu ana ufahamu na uhandisi wa MELI ( marine engineer) acomment hapo, kwa faida yangu na wengine. Vitu kama masomo yake, ajira, mshahara, ugumu wa kazi n.k. chochote unachojua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta kazi ya utunzaji kumbukumbu. Nina Diploma ya Utunzaji Kumbukumbu niliyopata katika Chuo cha Utumishi wa Umma (TPSC) na nina uzoefu wa miaka mitatu katika kazi hiyo. Mwenye kuhitaji mtu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom