Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani inakuaje nipo Dar, Ilala natafuta mwenye gari tuingie mkataba nipige biashara ya Uber, Bolt (online business) uaminifu uwakika (0629747495)
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Wadau Kwa majina naitwa Hassan Mohamed naishi Yombo Vituka, temeke ninatafuta gari ya hesabu au mkataba ya Uber na Bolt Kwa yeyote mwenye uhitaji na dereva nipo tayari muda na saa yeyote...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya...
0 Reactions
31 Replies
28K Views
Habari, mimi ni kijana wa kitanzania na mkazi wa daresalaam tabata, nipo mbele yenu natafuta gari kwa ajili ya biashara ya uber na bolt nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Mawasiliano; 0622570507...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM VACANCIES The University of Dar es Salaam invites applications from suitably qualified Tanzanian Public Servants who wish to be considered for transfer to the...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
USIPOZINGATIA HAYA, UTAISHIA KU-APPLY KAZI BILA KUITWA KWENYE INTERVIEW Vijana wengi sana Wahitimu wa vyuo wamejikuta katika janga la kuishia ku-apply kazi bila kuitwa kwenye Interview. Kwa miaka...
22 Reactions
56 Replies
5K Views
Job Title: Project Officer (1 Position) Job Location : Magu - Mwanza Magu Poverty Focus on Older People Rehabilitation Centre (MAPERECE) in collaboration with Amref Health Africa Tanzania is...
3 Reactions
1 Replies
536 Views
Ombeni kazi ni nynyi tu na kuomba.
5 Reactions
59 Replies
10K Views
Habari za Asubuhi wakuu, Naomba kuuliza kwa anaefahamu vizuri ,Eti ukifanya Mtihani wa kuandika (written) na kufaulu kuitwa usaili wa mazungumzo (Oral) teari kuna uwezekano ukaitwa kazini...
2 Reactions
7 Replies
931 Views
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an...
2 Reactions
0 Replies
497 Views
EMPLOYMENT OPPORTUNITY Position: Maintenance Technician Reference: MA/MT/KHS/16/05/23 Organization: Maternity Africa Duty Station: Kivulini Maternity Centre, Ngaramtoni ya Chini...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Legal Officer, Dar es Salaam, Tanzania. Job Purpose This role is responsible for overseeing the legal aspects and compliance of the business in the jurisdiction of Watu (Tanzania) Limited...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Stanbic Bank Tanzania is a full-service commercial bank that specializes in providing facilities and services to public and private sector corporations. Job Overview. Business Segment: Business &...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Post Title: Information Technology Officer Interesting Career Opportunities at WFT-Trust WFT-Trust is the first and only women’s rights fund in Tanzania that has been in existence since 2008 and...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Msaada kwa anayefahamu vyuo vya uandishi wa habari vinavyopatikana jijini Dar es Salaam kwa ngazi ya cheti. Kwa anayejua naomba anitajie.
0 Reactions
30 Replies
35K Views
Ndugu zangu habarini, Mimi naitwa Caroline ni mwanachama wa mda mrefu wa JF natafta kaz yoyote halali, katika Duka, kiwandani, supermarket n.k Elimu yangu nina degree ya human resource naombeni...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Org. Setting and Reporting The post is located in the Registry, Human Resources Section of the International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (IRMCT), Arusha Tanzania Branch. The...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Nimekuwa nikifuatilia kazi hii ya usafirishaji wa magari maarufu km IT kwa muda sasa lakini sikupata kufanikiwa wazee wa clearing and Foward au mdau yoyote mwenye kufahamiana na Agents wanaohusika...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
Habari, Ndugu Kaka na dada zangu poleni na majukumu ya kazi, nimeanzisha huu uzi ili kupeana madini mbalimbali mbalimbali juu ya kuweza kufanikisha kufaulu usaili wa utumishi. Kwa watu walio...
3 Reactions
55 Replies
9K Views
Back
Top Bottom