Natafuta mwl anayeweza simamia Day care kama mwalimu mkuu
Shule inapatikana Kimara Mwisho.(njia ya Dawasco)
Sifa:
1.Awe na sifa ya uongozi.
2.Awe amesomea Ualimu.
3.Uzoefu wa miaka 3 akiwa...
Nitoe shukrani zangu zote kwa wadau wote wa jukwaa hili.
Kupitia elimu ya humu nilizingatia maoni ya wadau jinsi kutoboa au kupata kazi serikalin kupitia utumishi.
Hatimae leo naenda kuchukua...
Habari ndugu zangu!!
Natafuta kazi ili nijikwamue kiuchumi maana mtaani ni kugumu sana.
Elimu:
Degree ya Computer Science
UWEZO
1. Programing (C++, Python, Visual basic)
2. Computer Mantainance...
Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) wishes to invite qualified Tanzanians to fill vacant posts in District Offices as shown below:
1.0 INVESTIGATION...
Habarini za wakati huu?
Kutokana na wadau wa jukwaa hili uwa bize na upendo wa baadhi ya kazi zinazotafsiriwa kama zenye kipato uzuri na kwa kiwango iubwa wadau na watafutaji wamekuwa hawaipi...
Habari,
Ni matumaini yangu wote wazima.
Mimi nataka kufahamu kuhusu jinsi ambavo naweza kujitolea kwenye hizi NGOs sema sijui taratibu zake zinakuwa vipi. Je ni kwamba mpaka watangaze au sio...
Uzima upo wanaJamvi?
Naomba kwa yeyote aliye tayari, tuungane week ijayo kuzunguka viwandani kutafuta KAZI
Mimi naishi Dar es salaam Sina kazi kwasasa, Nahitaji mwenye nia kama yangu tuunge...
Nina mdogo wangu ambaye amesomea lab technician ngazi ya diploma sasa amekuja town huu mwezi mzima sasa umekata ni mwendo wa kukaa tu ndani sielewi hata naanzia wapi kumtafutia hizi private...
Baada ya kimya kwa muda mrefu kwa changamoto za hapa na pale za kidunia nina mshukuru mungu kunipambania na kunipa afya njema na kurudi imara.
Wakurugenzi wangu mim ni kijana wa kitanzania ambae...
Habari,
Kijana, yoyote mzoefu wa KUCHOMA chips na mishikaki aliewahi Fanya hiyo kazi hapa Dar es Salaam au sehemu nyingi tuwasiliane aje PM.
Au kama anafanya tayari kuna ila hana mtaji wa...
Habari, kwa muda mrefu nimekua nikitafta nafasi ya kazi hata ya kujitolea katika hospital hapa dar es alaam bila mafaniko.
Elimu yangu ni diploma in medical laboratory science with more than 3...
ST JOHN’S THE UNIVERSITY OF TANZANIA EMPLOYMENT OPPORTUNITY
St John’s University of Tanzania (SJUT) is a relatively young but dynamic university aspiring to become a global player in the...
Kiufupi, mimi ni mhitimu wa Shahada ya uchumi wa maendeleo ya jamii(CED) Mwaka jana mwezi wa 8.
Nipo mkoani kigoma ndipo nilipozaliwa na ni nyumbani.
Baada ya kitambo kidogo, nimeamua kunyoosha...
TAMISEMI MSAIDIENI MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KUZUIA MALALAMIKO YA NAFASI ZA AJIRA 21,200 ZILIZOTANGAZWA KADA YA ELIMU NA AFYA
Na. Matuguta Zax
Nampongeza sana Mhe Rais Dkt Samia Suluhu...
Watu wengi najua wanafahamu zaidi recruitment portal ya serikali yani ajira portal. Lakini zipo portal nyingi tu ajira za watu tofauti tofauti.
Mimi binafsi nawakubali cvpeople walishanipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.