Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Mimi ni kijana wa miaka 28 napatikana arusha mjini, Elimu yangu ni shahada ya utalii na mambo ya kale. Naweza kazi za camps,Guides, uhifadhi, afisa masoko,Mails na intenary na kazi yeyote katika...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
Inasikitisha sana kuona kati ya maelfu ya graduates na kati ya watanzania zaidi ya milioni 60, hizi ndizo nafasi za kazi zilizopo kwa sasa! Wakati huo vigogo wakiendelea kutumbua fedha za serikali...
18 Reactions
67 Replies
5K Views
Hivi kama tume ya ajira/Chuo cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuwaje kwa watu 100-800? Ni kweli watu wanawekewa matokeo yao kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY. Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, Mimi ni binti mwenye miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu course ya sheria nina uhitaji wa kazi yoyote hali ya kuniingizia kipato hata iliyo nje ya field yangu.
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jf, Hivi ni taasisi au mamlaka gani wanajihusisha na ajira wao wenyewe bila kupeleka tangazo la ajira sekretarieti ya ajira?
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari naomba kufahamu mamlaka za ajira nchini ni zipi ukiacha sekretarieti ya ajira?
1 Reactions
5 Replies
757 Views
Habari za kazi wapendwa! Mimi nina maswali mawili Endapo mtu ameomba nafasi hizo hapo juu mbili na ameitwa zote mbili na Sekretariat ya Ajira je kuna uwezo wa Mtu huyu kuomba afanye zote...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu, Kama jina “linavyo-display” hapo juu. Baada ya kuhitimu bachelor’s degree miaka kadhaa iliyopita na kusambaza CV ofisi mbali mbali, hatimaye mapema mwaka jana nilipata...
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu poleni na majukumu. Tafadhali sio mimi mpangaji mwenzangu. Alikuwa anafanya kazi kariakoo kwenye duka la nguo ila kwa sasa biashara haiendi vizuri bosi imebidi asimamishe biashara huyu dada...
0 Reactions
3 Replies
612 Views
Tuna shughulika na kazi zifuatazo:- 1: Ku filling return 2: Kutengeneza vitabu vya kimahesabu 3: Makadirio ya kuanza biashara 4: Ushauri wa kodi (TAX CONSULTANT) 5: kuagiza mzigo nje ya nchi...
3 Reactions
4 Replies
591 Views
Mimi ni kijna wa miaka 22 ,naishi dar es salaam kwa azizi ally Nimeamua kutumia muda wangu kusaidia watu kazi mbalimbali hii nikutokana na wengi kubanwa na majukumu ya kila siku Manunuzi sehemu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wapendwa mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25,ninatafuta kazi kwenye sheli nlikua naomba kuuliza barua ya maombi ya kazi naipeleka wapi au nifanye nini ili niweze kupata maana nina...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu wana jukwaa pendwa kbisa,mm ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza kozi ya accounting, natafuta kazi yeyote kuanzia iwe asubuhi mpaka saa 11 nipo tyr kupokea malipo yeyote: Nina...! 1.TALLY...
0 Reactions
2 Replies
641 Views
Mimi hii kitu bado sijaielewa, yani Utumishi unawapa historia yako yote ya kielimu wako nayo mkononi. Ina matokeo mazuri mpaka yamekufikisha ulipofika, na vyeti ulivyopata vimetolewa na taasisi...
16 Reactions
224 Replies
10K Views
Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na...
15 Reactions
27 Replies
3K Views
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Kama kichwa kinavojieleza pakua pdf
1 Reactions
2 Replies
1K Views
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
NATAFUTA MFANYAKAZI WA STATIONARY Awe msichana mwenye umri wa miaka 22 - 30. Awe na ujuzi wa lugha ya Kiingereza na Kiswahili (Kuandika na kuongea) Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea Awe...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom