Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habarii wanajamvi mimi bhana nimeitwa kwenye interview Tutor (Rural development), na ni mara yangu ya kwanza na Inafanyika jumatatu sijui hili wala lile... kwa wenye uzoefu basi na hizi mambo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
1.0 Background: Mwenge Catholic University (MWECAU) is a secular, private and non-profit making institution of higher learning owned and managed by the Tanzania Episcopal Conference (TEC). The...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Habarini wakuu humu ndani natumai ni wazima nyote. Bila ya kupoteza muda rejea mada tajwa hapo no Dada anatafuta kazi ya kuuza duka nk. Kwa yeyote mwenye kuhitaji huduma yake Mawasiliano...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanda kipo Dodoma, nahitaji mwenye uzoefu sana. Kama unapatikana nitumie namba yako ya Simu Inbox nitakupigia.
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo job seekers wenzangu? Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021? Tunataka tukajaribu bahati zetu.
5 Reactions
544 Replies
61K Views
Job Opportunity; Insurance Officer
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Naitwa Fidelisi Fredy Sanya Nina umri wa miaka 22 naishi Dar es Salaam nina cheti Cha kidato Cha nne, Nina cheti Cha V.I.P driver kutoka chuo Cha Taifa Cha usafirishaji N.I.T. Pia Nina Namba ya...
0 Reactions
3 Replies
728 Views
Kamishna Jenerali wa Jeshi La Magereza anatangaza Nafasi za Kazi 1241- za kujiunga na Jeshi kwa Mwaka 2022. Mwisho wa kutuma Maombi Tarehe 15 .JUNI.2022 --
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Elimu yangu ni kidato cha nne. Jinsia yangu ni ke. Natafuta kazi ndani ya mkoa wa Mwanza kama inavyojieleza katika kichwa cha habari. Naombeni msaada wenu tafadhari. Nawaomba uni DM Kama uko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anahitajika kijana wa sales mwenye vigezo vifuatavyo: Kuanzia umri wa miaka 21 hadi 30 Aweze kutafuta wateja wa printing, designing, event management, social media management Awe tayari kulipwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina ndugu yangu kamaliza chuo sasa ndo anakaa kwa ndugu yake Morogoro, kwa wanaojua sehemu mtu anaweza jishika akapata kitu chochote. Kuuza duka, viwandani, wapi kwingine kwa Morogoro. Share...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajamvi naomba kwa anayefahamu jinsi ya kupata nafasi ya internship au kuvolunteer katika ofisi za NHIF hususan makao makuu anielekeze tafadhari....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa maeneo ya Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za kutwa. Kama unavijua taja hapa, kwa wale wenyeji wa Maeneo hayo. Unaweza kushare hapa. Na kama una connection yoyote kwa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendwa Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History) Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani...
3 Reactions
11 Replies
734 Views
Greetings guys of JF nimepost Uzi huu natafuta field ya IT katioa level ya diploma nimetafuta field jimekosa nimeona nije umu kwa ajili ya msaada wenu mkoa was Dar au Dodoma Niko tayari kwenda.
1 Reactions
2 Replies
612 Views
Wanahitajika mawakala wa super gro Mikoa yote Tanzania VIGEZO 1. Muaminifu 2. Mchapakazi 3. Mtaji kuanzia 550000/= Wasiliana na mkurugenzi wa masoko Piga au WhatsApp 0767379911
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba kujua maswali yanayoulizwa kwenye verbal onlinetest za kampuni ya Scania position ya Tax accountant
1 Reactions
3 Replies
868 Views
Amani ya Bwana iwe nanyi Naomba kuuliza, hivi haya makampuni ya SBL, TBL, TCC KONYAGI na mengineyo huwa wanaapply vipi kazi hata kama hawajatangaza nafasi? yeyote mwenye insight please.
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Deadline; 16th October, 2022.
1 Reactions
1 Replies
572 Views
Back
Top Bottom