Habari JF!
Mimi ni Binti nimehitimu Bachelor of Accountancy ninauzoefu wa zaidi ya miaka mitatu kama muhasibu na ninaweza kufanya pia Kazi zingine kama marketing.
Kwa kampuni wanayohitaji...
Masaa wana jamii ni wapi kuna maslahi mazuri ya malipo/kipoato (mishahara na posho) kwa ngazi ya degree taasisi za serikali hizi
1.PURA.....As geophysics
2.Ocean road Hosp......as medical...
Hello,
Ninajiandaa na usaili wa written, nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka utumishi
Naomba mwenye vidokezo, written yao inalenga maeneo gani haswa?
Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kwanini hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?
Serikali ilipokua inaanzisha hizi kozi...
Habari wana JF,
Mimi ni mwalimu katika skuli ya msingi hapa Zanzibar.Nahitaji kuhamia Tanzania Bara kwa mwenye uzoefu naomba anisaidie mawazo.
Nitashukuru sana[emoji120]
Habari,
Ilikuwa 21 April TBS walitoa tangazo la internship kwa nafasi mbalimbali.
Vipi walishaita vijana kwa ajili ya usaili na kuanza kazi?
Nimeingia kwenye website yao sijaona tangazo lolote...
Wakuu, kati ya hao wawili yupi ana mslahi mazuri, sababu kuna kila dalili za kutoboa interview ya iliyoanza Jana ya Mahakama, na hapohapo nishahakikishiwa na mkurugenzi ndugu yangu wa halmashauri...
Habari wakuu!
Guys kwa yeyote aliwahi kufanya interview ya written kwenye mashirika ya DAWASCO( DAWASA,MTUWASA etc) Kama Water Technician naomba ashee maswali ambayo alikutana nayo!
Asante.
Naomba kazi yoyote itakayo niweka mjini wakati nikihangaikia mambo yangu ya kuwa employed kulingana na professional yangu. Niko dar es salaam, 0767908931 namba yangu
Nilishiriki Zoezi la Anuani Za Makazi.
Niliamka Asubuhi 12 na Kufanya kazi Hadi saa 1.
Zoezi lilipofika mwisho huku eneo kubwa likiwa Bado halijaingiziwa taarifa, (hii ilitokana na idadi ndigo...
Habari za majukumu ndugu zangu!
Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi.
Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu...
Habari za kazi wakuu,
Mimi ni dereva, ninahitaji ajira kuendesha gari ya shule, daladala au gari binafsi. Nina vyeti na leseni yenye madaraja A,A2,B,D,C1,C2,C3,E. tafadhali share na wengine...
Habari zenu wakuu!
Niliomba nafasi ya kazi ya Accounts officer katika tume ya utumishi wa mahakama katika mfumo wao wa kutuma maombi (Online Application),
Leo mchana nimesikiliza Tbc FM kuwa...
Nakupa fursa mbili zilizopo Shule ya Sekondari Sakana Iliyopo Kiluvya, Gogoni, jijini Dar Es Salaam.
1. Kama wewe ni Mwalimu wa Fizikia na Hesabu (Basic Mathematics) karibu ufanye Interview, ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.