Hope mko poa
Tamisemi kwenye ajira za walimu, wanatoa option ya muombaji kuchagua shule anayoitaka. Muombaji anapewa option tano.
Lakini Cha kushangaza vijana waliopata ajira ninao wafahamu...
Mimi ni muhitimu was kidato cha sita masomo ya sanaa, kwa sasa najishughilisha na ufundi wa maji safi na taka majumbani (plumbing) ujuzi niliojifunza mtaani na mpaka sasa nina uzoefu wa miaka...
Habari Wadau.
Naomba kufungua mazungumzo haya kuzungumzia Suala la Kazi za Kujitolea na Umuhimu wake sambamba na madhara yake unapochukulia kwa wepesi nafasi hizi pindi unapozipata. (Kutokana na...
Je, Wazanzibar wanaomba kupitia ajira portal hii au kuna ajira portal yao?
Nimeona nafasi za TRA usaili ulifanyika DSM, Dodoma na Zanzibar.
Hao waliofanya usaili Zanzibar walipatikanaje? Naomba...
Habari za wakati huu wana jf
Kwa Mara nyingine nimekuja mbele yenu nikiwa natafuta sehemu yoyote ili ya kujitolea anglau niweze kupata uzoefu
Nina shahada ya sosholojia nani mkazi wa mkoa wa...
Mm ni kijna miaka 22 ninaomba kazi ya kujitolea hususani kwenye maduka, supermarket, na kokote panako faa.
Mimi Niko vizuri katika Mambo ya:
Marketing, public relations, stores na sales
Lengo...
Mkuranga is one of the six districts of Pwani Region in Tanzania. It is bordered to the north by Dar es Salaam, to the east by the Indian Ocean, to the south by Rufiji District, and to the west by...
TANZANIA HOME ECONOMICS ASSOCIATION (TAHEA)
JOB Opportunities
Background
Tanzania Home Economics Association (TAHEA) is a national professional organization of nutritionists, home economics...
TAHEA is seeking qualified candidates to immediately fill the following vacancies: –
Project Accountant (1 Position)
Position Description:
Project accountant will be supporting finance...
Habari wakuu,
Mimi ni mwanafunzi wa chuo Arusha mjini hapa. Naomba kwa mwenye connection ya kupata part time job hasa kwenye migahawa/restaurants.
Msaada tafadhali.
POST PERSONAL SECRETARY II – 2 POST
POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER Mzumbe University
APPLICATION TIMELINE: 2022-04-15 2022-04-28
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To...
Ndugu zangu mimi ni dereva mzuri sana nahitaji kazi ya udereva leseni yangu ni daraja C na ni dereva wa gari zozote zile ndugu zangu tusaidiane jamani ndugu zangu iyo certificate yangu
Njaa kali, majukumu mengi na umri unasogea hata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo imeshindikana.
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe ni kweli lakini kila ninachopata kidogo kinaenda kwenye...
Habari,
kwa anayejua suluhu ya "application failed" kwenye ajiraportal ilihali upo kwenye category sahihi na ulishawahi ku apply awali but for now inagoma mno.
Nani alishapata solution?
Habarini wana JF, Mimi ni moja kati ya vijana ambao tumebahatika Kumaliza chuo mwaka huu 2021/2022 sina budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Nimesoma Bsc. Human Nutrition, chuo kikuu cha Sokoine cha...
Salaam,
Kuna kazi zimetoka siku 2 hizi, zimetokea Wizara ya Afya zikitangaza kada tofauti tofauti, katika kada hizo pia kuna nafasi za madereva (4), lakini wameelezea vigezo na masharti ya kada...
Habari wana JF,
Kuna fursa tunaweza ku ungana kama vijana na tukajiajiri wenyewe(kwa walio serious tu)
Nahitaji vijana wasiopunguwa kumi(10) ili tuweze ku ungana na kujiajiri wenyewe
Vijana hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.