Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wadau mimi nilikuwa muhudumu wa Afya (medical attendant) niliacha kazi mwaka 2011, niliondoka bila kuaga wala kuandika barua ya kuacha kazi baada ya kunyimwa ruhusa yakwenda kusoma. Nikaenda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kila la heri mtakaopata. == JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA Telegrams “AFYA”, DODOMA Mji wa Serikali - Mtumba, Nambari ya simu: +255-026-2323267/2351196 Barabara ya Afya...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Shida nini utumishi mbona sehemu nyingine delete ipo isipokua kwenye academic. Ukikosea kidogo tu unapoteza sifa za kuomba kazi uipendayo badilisheni mtu awe huru.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Long Description Role purpose: The System administrator focus on all Management of Charging system application, Database, OS and Infrastructure which also include design and deployments of...
0 Reactions
5 Replies
737 Views
Marafiki naomba kuuliza. Hivi barua za kuomba ajira za TRA utumishi tunaandika kwa mkono au Microsoft Word?
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Any advice, challenges and motivation, ur welcome
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kufatia mabadiliko katika Baraza la mawaziri kuna wizara mpya zimeanzishwa ikiwemo Wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum lkitengwa na Wizara ya Afya Ambayo imekuwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Mimi ni mwanafunzi wa chuo Arusha mjini natafuta part time job ili niweze jikimu. Yeyote mwenye connection msaada tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
872 Views
Habari yako, Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Hello, Kwa majina naitwa SOSOMA JAMES Ni mtaalamu katika masuala ya kilimo niliyehitimu SUA. Nina miaka 24 na niko na shida ya usikivu kwa mbali. Ninatafuta kazi katika masuala ya kilimo hasa...
0 Reactions
7 Replies
555 Views
Habari JF, Kulingana na hali ya uchumi kutokua njema kwa upande wangu, imenipelekea kuyumba kwenye mambo yangu mengi na kushindwa kufikia malengo. Mambo ambayo nimeyashindwa ni 1. Ufugaji 2...
0 Reactions
3 Replies
567 Views
Mimi ni muhitimu wa diploma ya uuguzi jinsia kiume nipo dar natafuta sehemu ya kujitolea ambayo itanipa ata hela ya sabuni au nauli kidogo..kwa aliyeguswa Sent from my SM-A107F using JamiiForums...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Heshima kwenu wakuu. Well, nimekuwa nikiskia tu kuwa unapofanya kazi UN mpaka mchumba/mpenzi/mke wako nae ana lipwa kila mwisho wa mwezi. Leo katika pitapita nikawa napita kwenye website ya UN...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
We are Clearing company located at Harbour View Tower 4th Floor, Looking for a volunteers in the following vacancy: Position: Sales and Marketing Officer location : Dar es salaam. Qualification:-...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa na wazoefu hivi kuna uwezekano wa ajira zitakazotangazwa hivi karibuni kupangiwa tu vituo bila kufanya application?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Job Opportunities at CMS Tanzania Limited, April 2022 - Supply Chain Manager East Africa. CMS (Tanzania) Limited is a highly respected mineral exploration drilling company with operations in...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Job Description Driver (5) Medical Teams International Department: Operations Grey Sections to be completed by Human Resources. Team: Operations Job...
1 Reactions
7 Replies
894 Views
Habari za muda huu. Naomba kufahamu kwenye hizi nafasi za kazi TRA kwenye kipengele cha Tax management assistant II ni maswali gani wanatoa na yanatoka kwenye kitabu kipi? Note:- diploma holder
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Wadogo zangu pamoja na kaka zangu mama yetu raisi wa injii amemwaga ajira wale wenye sifa stahiki ombeni. Usiseme unajaribu bahati yako. Wewe omba kama iliandikwa ule kwa kalamu basi utapata...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom