Leo tarehe 12 April 2022 Serikali yetu kupitia Wizara ya Ajira na utumishi wa Umma imetangaza Ajira mpya na kupandisha madaraja wafanyakazi kibao.
Serikali yetu imesema itatumia zaidi ya shilingi...
Habari wapendwa,
Natafuta dada wa kazi anayejielewa . Nahitaji mtu anayeweza kulea mtoto na awe mchapakazi.
Mtoto wangu ana miaka 2 na hajisaidii kwenye nguo hivyo asiwe na wasiwasi.
Mwenye...
Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial.
Natafuta kazi kati ya hizi:-
Secretary
Stationary
Reception
Costumer...
Habari!
Ndugu zangu ambao tuna- apply kazi online tuwe makini sana na scam au wezi wa mitandaoni wapo wengi sana siku hizi na wanatumia depression za vijana wengi kukosa ajira ili kujinufaisha...
Habari wana JamiiForums,
Naitwa Peter, natafuta kazi yoyote ambayo itanisaidia kujipatia kipato Mfano hotelini, usafi, car wash na nyingine zinazofanana na hizo.
Nipo Dar es salaam Kinondoni...
Habari za humu wana JamiiForum,
Naitwa David (23), mkazi wa Arusha kwasasa Dar es salaam, kimara
Nimhitimu wa diploma kwenye biashara na utawala.
Dhumuni la kuandaa post hii kama nilivyoeleza...
Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi.
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26. Nina diploma ya uhasibu.
Ninauzoefu kwa sasa maana field nilifanya
Banc ABC kwenye...
Husika na kichwa cha Habari hapo juu.
Mimi ni Mwalimu wa masomo ya Literature na History, nina uzoefu wa kufundisha masomo hayo kwa miaka miwili hivi. Naomba mwenye connection ya kazi anisaidie...
MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) - 1 POST
POST CATEGORY(S)
ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER
Halmashauri ya Wilaya ya Musoma
APPLICATION TIMELINE:
2022-04-12 2022-04-25
JOB SUMMARY...
Pathfinder Overview
Pathfinder International is driven by the conviction that all people, regardless of where they live, have the right to decide whether and when to have children, to exist free...
Reliance Insurance Company (T) Ltd is one of the leading non-life insurers in Tanzania having pan reginal presence in Dares Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya and Dodoma.
The company offers full array...
Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Kizazi Hodari – Sothern Zone project in Tanzania. This is a five years’ project (March 2022 to February 2026) funded by the American...
Kama mnavyo ona ndugu zetu waliopata ajira TRA hili tangazo ni la ukweli maana mwanzo walisema makao makuu TRA walioitwa kazini wanapaswa kufika leo Wanasema ITA Mikocheni na masharti km yote
HABARI wakuu, Ninajua hii IG yangu sio ngeni hapa katika kuchangia mada mbalimbali na kwa wale wadau wa jukwaa la fulsa ajira na ujasiliamali, nadhani wapo wenye kumbukumbu ya uzi niliowahi...
Habari wapendwa .
Rejea kichwa cha habari apo juu .
Natafuta kazi ngazi ya Diploma
Nina experience katika :-
Computer application ì
Computer troubleshooting.
Simple LAN configuration.
Retail POS...
Hello wana JF,
Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya ICT Technician kwa TRA.
Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa...
Key Accountabilities/ Responsibilities:
v Deliverables:
Responsible to the PIC during flight, and generally to the Chief Pilot.
Shall be conversant with all rules and regulations governing the...
CMS (Tanzania) Limited is a highly respected mineral exploration drilling company with operations in Tanzania. An industry leader in safety with ambitious growth strategies, we are seeking...
Chama Kikuu cha Ushirika Kagera (1990) Ltd kinaundwa na vyama vya msingi 134 kutoka katika wilaya tatu za Muleba, Bukoba na Misenyi. KCU (1990) LTD yenye makao makuu katika manispaa ya Bukoba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.