Habari,
Wana JamiiForums naomba msaada wa kusaidiwa kupata nafasi ya kiajira mana hali imezidi kuwa ngumu na nina wazee na familia yangu wote wananitegemea na sina hata pa chakula kwa ajili ya...
Overview
The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional...
Habari zenu
Natafuta wafanyakazi kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mgahawa
#Wakike 2 elimu certificate yoyote sio lazima awe na uzoefu wa mambo ya hotel
#Wakiume 1 kwa ajili ya kumsaidia mtu...
Wakurungwa naomben msaada kwahili limenistua kidogo najua humu kuna weng wanaojua sheria na wengine wanaexperiance na haya mambo.kuna ofisi moja nilikuwa nafanya Kaz sasa wamenipa termination...
Eneo la kazi ni Kibara, Bunda.
Awe jinsia ya kike, asiwe binti mdogo (awe Kati ya Miaka 20 hadi 40).
Awe na uwezo wa kutumia Uhuru binafsi maana muda mwingi wenye nyumba hawapo, wanakuwepo tu...
Salaam! Kwa Wote.
Awali ya yote tuzidi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufika 2022 salama, tukiwa tunauanza mwaka tunaendelea kutafakari na kuweka malengo ya kupiga hatua kiuchumi...
Mambo job seekers wenzangu.
Nimepata kazi kwenye kampuni ya kuuza pedi kama mtu wa sales. Mshahara laki 8 kabla ya makato ila naona aibu kuifanya sababu naona kama sitokuwa comfortable kuuza...
Habari wakuu. Kuna kazi ya kuedit document ya maneno 17000. Kuna original na hii iliyokaa vibaya ambayo inatakiwa iwe kama original. Ni pm kama unaweza. 15000.
*WAKUU NIMESHAPATA MTU
Happy new year.
Wale mnaotafuta Kazi ,nendeni haraka Canada,mnaweza wasiloana na Balozi wetu kule awafanyie connection.
Sio mumelundikana Bongo na kulia Lia tuu hamtaki kujiongeza.
Kazi hizi...
Habarini viongozi,
Naomba kama kuna mtu YEYOTE anefanya au aliewahi fanya kazi na World Vision anielekeze namna ya kuupload CV kwenye website yao ya ajira.
Kama Tangazo Linavyojieleza, Natafuta Binti Wa Kukaa Reception Na Kusikiliza Wateja Kwenye Office Ya Computer & Phone Repair
TAFADHARI SOMA KWA MAKINI MAELEZO YANGU.
VIGEZO:
1. Awe Anajua...
Habari wadau,
Naomba kufahamu vitu viwili vitatu kuhusu hizi position mbili za PCCB kuna moja inaitwa investigation officer na nyingine assistant investigation officer, nimeona mara nyingi watu...
Wapendwa kwema?
Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua...
Natafuta mwalimu wa daycare, shule ipo maeneo ya kawe inapendeza mtu asitoke mbali. Kwa mawasilano zaidi wasap 0767191212. Usipige wala kubeep tuma sms.
Kwa sasa nipo dar es salaam shughuli zangu ni mtu wa IT ambaye nashughulika na maswala yafuatayo
1.computer training programs
2.computer maintance and repair
3.security systems installations...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.